Recent content by Morohan

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani anaiongoza Tanzania, Pombe Magufuli au Jakaya Kikwete?

    Elewa JPM hakuwa na kundi,Hivyo hana watu ufukoni kwa msingi huo anategemea zaidi ushauri kwa waliomtangulia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mjue muuza matunda gengeni anayeingiza bilioni 20 kwa mwaka

    iko poa sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wema kubwagwa, Diamond achafua hali ya hewa

    Nyota imegoma
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sana....

    Tz noma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Tunatakiwa kupimwa akili zetu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Kama baba alijenga nyumba yenye msingi mbovu, mtoto ukiisha kua bomoa na jenga msingi imara wenye nyumba imara viongozi wetu walitakiwa kuweka kwa muda wote ambao Nyerere hayupo madarakani na ktk dunia hii.TUMHESHIMU NYERERE KWA YALE ALIOYAFANYA KWA TAIFA HILI KWA WAKATI hule na tujadili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

    Tupo nyuma yenu JWTZ popote na kokote
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshauri Nape atafute familia yake kwanza ndipo aingilie mambo ya ndani ya CHADEMA

    CHADEMA NI CHAMA MAKINI CHENYE WATU MAKINI MIMI KAMA MDAU NIMEFUATILIA SANA HOJA ZA DKT SLAA KAMWE SIJAWAHI KUONA ANAPIGA POLOJO KAMA HIZO SISI VIJANA TUNATAKIWA KUIGA KUJENGA HOJA KWA AJILI YA CHAMA KULIKO KUANZA KULETA MATUSI,KUZALIWA NA MTU FULANI AU KUTOZALIWA NA MTU FULANI ITASAIDIA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Hivi kwa nini kulalama kuhusu Nyerere wakati wa utawala wake tu Je miaka kumi ya MWINYI isingetosha kubadili mfumo , kwa nini NYERERE TU? JE KIKWETE, MKAPA.Nafikiri huyu SAID NI MDINI KUPINDUKIA nasikia kichwa kuuma kusoma. Wanahistoria waliobobea wanajua kuwa maisha ya mifumo ni kutokana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

    Du akili yako ni mgando kabisa hivi baba yako akifa huwezi kumtambua kuwa alikuwa baba yako? Tathimin kwanza kwa nini anaitwa baba wa TAIFA? acha udini kijana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr Mwakyembe na kashfa ya misaada Kyela

    Wewe jamaa kama magodoro yalitoka nyumabani kwa Mwakyembe basi yeye ndie aliyetoa msaada huo.Mimi nafikiri hao unaowasema wangeenda kyela wao kutoa misaada tungejua kuwa niwao. TUMIA AKILI ZAKO VIZURI KUTFAKARI
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii hatari walisubiri rufaa ya Lema ili kutopoteza kwenye matokeo mabaya ya darasa la saba.

    Nilikuwa najiuliza kwa nini? matokeo drs saba yamechelewa kutoka sasa nimepata JIBU.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Nimekubali hii hatari wamechelewa sana kutoa matokeo ya darasa la saba walikuwa wasubili RUFAA YA LEMA ili kutupoteza kwenye matokeo mambaya tusijadili.
Back
Top Bottom