Recent content by morocan

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nakupenda
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naitaji kujua sehemu ya kununua materials za kutengenezea sabuni za maji na shampoo ....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Hahahhahahha[emoji28] [emoji28] [emoji28]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inakuwaje kuaje hiyo???
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgodi wa Bulyankulu kufungwa

    Nyie hamjamuelewa mtoa mada.. alitaka tu kujua majadiliano ya serikali na barrick yanaendeleaje ila alikosa namna ya kuuliza. So akaamua kutunga habar habari ya uwongo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barabara za Marekani hazilali kwa kuingiza pesa; kwanini tusiige?

    Kwenye daraja la kigamboni tu wanalalamika.. huko kwingine si itakua balaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Acha kudanganya watu. Mimi ni dereva wa IT zinatembea kama kawaida na hazichemshi. Jamaa kauziwa mbovu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu: Hivi kwanini wake za watu mnajiamini kupita kiasi?

    Mpaka unaandika humu kuomba ushauri hukuwaza kupima hata kidogo... Madhara ya kitendo unachokifanya? Ulitaka tujue urijali wako au tujue jinsi unavyowachezea wake za watu ama nini? Fikiri mara mbilimbili ukishapata jibu njoo utuambie Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu: Hivi kwanini wake za watu mnajiamini kupita kiasi?

    Mpaka unaandika humu kuomba ushauri hukuwaza kupima hata kidogo... Madhara ya kitendo unachokifanya? Fikiri mara mbilimbili ukishapata jibu njoo utuambie Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Hahahhahahhahahha.. kabla hujatoa maoni yako, ungeuliza kwanza. Hayo yametokea ndio mubashara kabisa wenye tv au redio wamesikia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naona kama dunia nzima imeniangukia

    Gari na kiwanja tayari ni assets. Kubali kuuza kwa hasara... Una gari aina gani. Nitafute nikusaidie kupata wateja... Kubali kurudi nyuma uanze upya
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Inauma sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi
  14. M

    JamiiForums Tanzania IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

    Jamaa yupo vizur kwenye analysis...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo ninunue bajaji

    Imekaa poa
Back
Top Bottom