Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

We jamaa nlikua nahisi kama pastor kwa miaka mingi..kumbe hahahhahaa unataka nikusaidie kutenda dhambi? No way, siwez kuwa accomplice
Pastor ndo hana Ashki? Askofu na Nabii wa pale mwenge anatakiwa kupimwa DNA kwa tuhuma ya kuzaa na mke wa mtu. Viroja!
 
Hahahaa Dar Dom masaa 7? We jamaa bana si ungepanda Shabiby tu

Hapana mkuu nlikua naenda kwaraha zangu huku nagonga mrungi taratiiibu wala sikua na haraka
Kwasbb nliondoka dar cku ya jmosi hio saa4 usiku
Na job nilitakiwa kuwepo jumatatu sasa nikawa nakuja mdogo mdogo
Lkn kwa kufunguka kwa mwendo mkuu kuna time nikikabonyeza ni kanafunguka haasa
 
Utunzaji tu wagari mm Nina Gari namba Lakini napiga mikoa kama kawaidah na ina miaka 15 toka inunuliwe utunzaji tu......

Samsung J7
 
Yalikuwemo mengine Lita 10. Tanki haiwezi kuwa empty.
1 litre ni sawa na km 20 running ( maximum capacity). Reccomended ni km 17 per litre.
Mimi huwa natoka tanga to dar about 350km na nna tumia mafuta ya sh 35000 only kama lita 15 hivi kwa wastani wa mwendo usiozidi 100km/hr na natumia masaa 4 mpka 5 depend na hali ya barabara, mtu alie sema alitumia mafuta ya 22,000 to moro ni sawa kabisa kwa passo ya 990cc
 
Lita 20 sawa. Kwenye tank kulikuwa na mafuta mengine kama lita 6 hivi.
 
Lita 20 sawa. Kwenye tank kulikuwa na mafuta mengine kama lita 6 hivi.
Ile huwa siigusi mimi na huwa siihesabu ktk calculations zangu, na utaijua tu tenki likiianza flash so nkiweka mafuta ya 35000 nafika na tenki halijanza flash kuonesha zilebaki zile lita 6 za reserve
 
PASSO si gari bali ni upouuz flan tu. Gari inazidiwa na PIKIPIKI BAJA? Gari gan hizo?
 
Back
Top Bottom