Naona kama dunia nzima imeniangukia

Naona kama dunia nzima imeniangukia

hizi ndiyo busara zako mkuu ,naamini kila mtu atakushangaa
Toka zamani ukioa Kama huyajui au uwezo huna mke alikuwa akijifungulia kwa wazazi wake kuna wakunga wa jadi kwenye koo waweza handle complications zingine kuliko madaktari bingwa waliosoma marekani kwa Trump. Huyo mwanamke asije kufia mikononi wapelekee waliomzaa
 
Huko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa huna
Ndio maana lissu kila siku anawakimbiza kama mapanya! Sasa huu ndio ushauri gani umetoa??
 
Toka zamani ukioa Kama huyajui au uwezo huna mke alikuwa akijifungulia kwa wazazi wake kuna wakunga wa jadi kwenye koo waweza handle complications zingine kuliko madaktari bingwa waliosoma marekani kwa Trump. Huyo mwanamke asije kufia mikononi wapelekee waliomzaa
usileta mambo ya zamani mkuu,hii ni dunia nyingine na wakunga hao siku hivi hakuna .kumbuka kila mtu usawa wa Magufuli unakaba ,leo hii uwapelekee mzigo ,yaweza kuwa wao wanahali mbaya kuliko huyu ndugu ,yaani wao ndiyo wanamwaminia kwani wanamuona anamili usafiri
 
Daaah! Mkuu unanidhihaki tena.sawa
Talk straight wewe kama lofa speak straight kuwa mimi lofa. Sipendi mtu anakuja mfano anakutongoza ukimkataa anasema hunitaki kwa kuwa Mimi unaniona lofa. Mimi mtu Kama huyo namwambia straight kuwa yes sikutaki lofa wewe katafute malofa wenzio wa kuwaoa lofa mkubwa wewe. Wewe kama lofa huwezi uguza rudisha mtoto wa Watu kwa wazazi wake na waambie straight mimi lofa sina hela ya kumtibia.
 
Daaah! Mkuu unanidhihaki tena.sawa
Mkuu huyo jamaa tunajua akili zake mpuuzie!!

Kwa sababu una gari na kiwanja kwanin usitangaze humu jf ili uuze??

Pia kama unaweza waambie wafanyakaz wenzako na kama ikiwezekana m-face boss wako mwambie hali halisi ili akiweza akupe pesa mkatane kwenye mshahara!!

Labda nikuulize...kazini hamna bima ya afya?? Kwanin usiitumie kwa ajili ya matibabu ya wife??

Pole sana mkuu!! Mungu akupe wepesi!!
 
Huko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa huna
Ushauri gani sasa huu. Umamshauri mwanaume akimbie majukumu yake?
 
Mkuu tangaza bei ya iyo ndinga.
Na mpeleke uyo mwanamke kwao
 
Gari na kiwanja tayari ni assets. Kubali kuuza kwa hasara... Una gari aina gani. Nitafute nikusaidie kupata wateja... Kubali kurudi nyuma uanze upya
 
Mkuu huyo jamaa tunajua akili zake mpuuzie!!

Kwa sababu una gari na kiwanja kwanin usitangaze humu jf ili uuze??

Pia kama unaweza waambie wafanyakaz wenzako na kama ikiwezekana m-face boss wako mwambie hali halisi ili akiweza akupe pesa mkatane kwenye mshahara!!

Labda nikuulize...kazini hamna bima ya afya?? Kwanin usiitumie kwa ajili ya matibabu ya wife??

Pole sana mkuu!! Mungu akupe wepesi!!
Asante kwa busara zako mkuu.nianze na gari ni raumu namba DAM nikipata 7.5m saws tu.nitafanye sasa.kuhusu bima sector binafsi hazijali hivyo sina.nitajaribu kuongea na bosi wangu japo no mtata sanaaaa
 
Daaah! Mkuu unanidhihaki tena.sawa

Kwanza pole kwa matatizo yaliyokukuta mkuu yatapita tu Mungu ni mwema muite na mtegeee.

No jamaa hakudhihaki ana point ila huenda hajui kutumia lugha laini. Kikubwa nilichomuelewa YEHODAYA anasema shirikiana na wakwe zako waambie ukweli wakusaidie kwani huyo ni mtoto wao usibebe matatizo yake peke yako. Mzazi anaweza hata kuuza shamba kwa ajili ya mtoto wake wewe mume hata kuweka poni/ Bond tu kiwanja au gari umeshindwa unaona hasara.
 
Back
Top Bottom