Bobdon
Senior Member
- Jun 8, 2017
- 197
- 287
Habari za jioni wakuu.
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nahitaji kukopeshwa hela ninunue bajaji ili ipige kazi hapa mjini(Dar es salaam).Nitapambana kila mwezi niwe narudisha laki 600,000/-, Hivyo ndani ya mwaka mmoja nitakuwa nimemaliza deni lote.
Katika machakato wa kupambana kurejesha hiyo hela itakuwa kama ilivyoelekezwa hapa chini:
Kwa mwezi itakuwa:
150000×4 (weeks)= Tshs 600000/-
Kwa mwaka itakuwa hivi:
600000× 12 (months)= Tshs 7,200,000/-
Therefore, ndani ya mwaka mmoja nitakuwa nimekamilisha huo mkataba kwa kulipa deni lote ambalo ni laki 7,000,000( Principal amount) plus agreeable interest according to our agreement.
Pia baada ya kupata hiyo bajaji naamini itasaidia kuanzisha biashara ndogo ndogo kama,
a) Biashara ya kuuza mboga mboga
b) Biashara ya matunda
c) Mgahawa wa kuuza supu ya pweza na vyakula vingine na,
d) Banda la chips .
Napenda sana niwe tajiri mkubwa sana sema hela inakuwa kikwazo kwa upande wangu.
Nimewasilisha!
NOTE: Kuna marekebisho kidogo yamefanyika!