Recent content by Moris

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Can i join da illuminant?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimepokea simu ya ajabu usiku wa kuamkia tarehe 28th December 2011

    Hli jamaa lmefuzu uongo,private number huwa haioneshi jna,ye ameweza vp kuipga.kua bac mwanangu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayebisha kwamba polisi si vibaraka wa CCM asome stori hii ya T. Daima

    Kubingwa w n kenge.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni Tanzania; Basi tumelaaniwa, na aliyetulaani kafa

    Nmefarijika sana baada ya kuona hii post imefika hapa!nlijtahd sana kutafuta njia ya kupost hii k2 especially to the geita side ila nikafell simply bcz natumia simu,nmefurahi kwa sababu dunia sasa inaelewa nn kinachoendelea maeneo ya migodi,wakazi wanaonekana hapo wa geita,nmeanza kuwaona tangu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani Darasa la Saba

    All da best std 7,miaka hyo m nlnunua soksi mpya na rula pamoja na shati,duh,kazeni madogo mungu yuko upande wenu,msome mje ku2saidia kufukuza magamba yote bongo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

    Jaman niangalizieni jina langu,morris d.wambura,
  7. M

    JamiiForums Tanzania TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

    Hv jamani,haya majina ni pamoja na wale walio-reselect programs.mtujuze wengi jamani tuko dilema.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii Ya Katibu wa Mbunge Lema Imekaaje?

    Abdala hasan nimependa ulvyochambua habar hii ya kutengeza,tofaut na hapo,mwandishi anasema kuwa kamanda wa polisi mkoa alisema yuko safarini na hajui kuhusu hlo tukio labda mwandishi awasiliane na mkuu wa upelelezi,at da same time mwandishi anasema kamanda wa polisi alithibisha kukamatwa kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tigo mkifanya bei za Internet kama za airtel nitatupa line zingine zote!

    Cjawahi kutumia net ya airtel,kwani iko fasta kaka,km iko fasta,nahama tigo leoleo,kwan haiwezekan nikijiumga mwenyewe nakatwa 450 kwa siku mbili,km kuna crdt kwenye 4n yangu km 500 na kwendelea wakiniunga automatically inakuwa ni siku moja,kama airtel wako fasta tujuzane ili niwahi kusajili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GGM wabaka, wajeruhi na udharirishaji!

    Wakuu m niko geita,hii inshu co ya leo wala jana,wananchi wa wilaya hii wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya kigaidi kiasi na uongozi wa GGM kwa kusaidiana na ungozi wa serikali hasa OCD na MKUU WA WILAYA,hawa watu kuna kila aina ya sababu za kuwahc wanapokea mlungula kutokana na majibu na dharau...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GGM wabaka, wajeruhi na udharirishaji!

    M niko huku kweli yametokea na co mara ya kwanza wana jamii,wananchi na wakazi wengi wa mji wa Geita katika kuhangaika kutafuta rizk katika maeneo ya mgodi huo wamekuwa wakitendewa vitendo vya kikatili na walinzi na polisi wa jeshi letu wamekuwa wakiviunga mkono vitendo hvyo na sometimes...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mbunge wa Geita kapata kashfa?

    Wadau m npo geita now,huyu jamaa n mlevi sana,na kuwadhalilisha wanawake kwake ilikuwa n kitendo cha kawaida bar hasa ambassador club sehemu ambapo alikuwa anapenda sana kunywa kabla hajawa mbunge,alitumia kibuli chake hicho kuwachoma vidole wanawake mbele za watu kisa tu kajenga public toilet...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika tena

    Geita pia umeme umekatka now,jaman hali hii mpaka lini,leo bill imekuja 70 elfu,akati matumizi n ya kawaida kabisa,mwez jana nmelpa 3500 tsh.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi?

    Huku geita pia umeme hakuna,umekatka kama dk 40 zlzopta.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa PM Julai 14, 2011

    Endelea kutujuza mkuu kwetu umeme hakuna....pplez!
Back
Top Bottom