Umeme wakatika tena

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Niko nacheki taharifa ya habari juu ya kusimama kwa bunge katika bajeti ya nishati na madini mara ghafla Ngeleja anakata umeme,sijuhi vipi huko wenzangu
 
Geita pia umeme umekatka now,jaman hali hii mpaka lini,leo bill imekuja 70 elfu,akati matumizi n ya kawaida kabisa,mwez jana nmelpa 3500 tsh.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom