GGM wabaka, wajeruhi na udharirishaji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GGM wabaka, wajeruhi na udharirishaji!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 7, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 7, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,249
Likes Received: 3,836
Trophy Points: 280
Maajabu ya manyanyaso ya wawekezaji yazidi kushika kas baada ya walinzi wa mgodi wa Geita gold mining kuwapiga na kuwaba wananchi wanaoishi jirani na mgodi huo!

Chanzo ITV

2. M

Moris Member

#2
Aug 7, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
M niko huku kweli yametokea na co mara ya kwanza wana jamii,wananchi na wakazi wengi wa mji wa Geita katika kuhangaika kutafuta rizk katika maeneo ya mgodi huo wamekuwa wakitendewa vitendo vya kikatili na walinzi na polisi wa jeshi letu wamekuwa wakiviunga mkono vitendo hvyo na sometimes wamekuwa wakishiliki.naomba kuwasilisha.

3. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#3
Aug 7, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,249
Likes Received: 3,836
Trophy Points: 280

Tunaomba fuatilia kwa makini tuletee hizo habri!

4. Azimio Jipya

Azimio Jipya JF-Expert Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 3,370
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
Mnategemea nini kama Viongozi wetu wakuu wameshindwa kufanya maamuzi magumu kwa wakosaji wa ngazi za juu!

Hakuna mahali popote nchini sheri zitafuatwa kama Viongozi wa juu wa sereakali ...HAWAJIWEZI!

Kiukweli Hatua kitu kama Nchi tena ... hakuna uongozi wa kuwasimamia na kuhakikisha kuwa haki za wananchi wa taifa hili zinafikiwa na kutekelezwa.

Tatizo ni Uongozi legelege unajitafsri kwa nagazi zote za jamiii!!

5. w

white wizard JF-Expert Member

#5
Aug 8, 2011
Joined: May 18, 2011
Messages: 2,462
Likes Received: 748
Trophy Points: 280
hivi ni nchi gani nyingine duniani ambayo wananchi wake wanadharirishwa namna hii jamani!na wakwapuaji,badala ya madini kuwa neema sasa yanageuka kuwa kiama chetu,hii hali ndiyo kama ile ya niger delta kule nigeria.

6. m

mtemiwao JF-Expert Member

#6
Aug 8, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 384
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Acheni kuleta mambo ya jumlajumla weka vielelezo

7. Domhome

Domhome JF-Expert Member

#7
Aug 8, 2011
Joined: Jun 28, 2010
Messages: 2,004
Likes Received: 1,054
Trophy Points: 280
Niliiona hii jana kwenye taarifa yao ya habari(ITV) saa 2 usiku.

Kuna mzee mmoja alieleza mbele ya halaiki kuwa (nanukuu), .." Ninao ushahidi kuwa Mkuu wa Wilaya (Geita) analipwa na mgodi (GGM) kiasi cha Tshs 42m @mwezi na ushahidi ninao!" mwisho wa kunukuu.

8. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#8
Aug 8, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,249
Likes Received: 3,836
Trophy Points: 280

Upo sahihi kabisa!!!

9. M

Moris Member

#9
Aug 8, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wakuu m niko geita,hii inshu co ya leo wala jana,wananchi wa wilaya hii wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya kigaidi kiasi na uongozi wa GGM kwa kusaidiana na ungozi wa serikali hasa OCD na MKUU WA WILAYA,hawa watu kuna kila aina ya sababu za kuwahc wanapokea mlungula kutokana na majibu na dharau dhidi ya wananchi wao,natoa mfano,hapa geita kuna mawe(waste)kama ambayo wakazi wa nyamongo walikuwa wanayaokota,sasa huku pia wananchi wanafanya vvyo hvyo kwa kuwahonga walnz na kuingia kuokota mawe marufu kama "GWANGALA"kumbe ocd alikuwa na vjana ambao walikuwa wanapga nyoka(kuiba mafuta)wanampelekea so wale polisi ambao n wafuasi wa ocd wakanza kuwakamata na waokota mawe ya dhahabu ambao ardhi yao imenyanganywa na mgodi,wanapga na kuwanyanganya kila k2,iko hv,hata yale mafuta co kwamba walikuwa wananyonya wao no,walikuwa wanawavizia wananchi ambao walihonga na kuchukua mafuta au mawe then wanawakamata na kuchukua mizigo yao,sasa bac sehemu kubwa ya mazingira unapofanyka ugaidi huu ni kwenye padi ndefu na fupi za mawe makubwa mno,raia wengi wamepofuka,kuvunjka miguu,mikono,kutokana kukimbia,bt remember haya maeneo ni ya mgodi na polisi huku hawahusiki coz GGM inawalnz wake,baada ya kiongozi mkubwa wa kitanzania wa mgodi ukiacha wazungu kuona hvyo, akabadili lugha kwa mkubwa wake ambae n mzungu anaitwa MIKE,kuwa polisi wanaweza kufanya kazi vzuri kuliko G4s,bt note,kuna baadh ya polis walikuwa wanalalamika kuwa wanapokamata watu na wakiwaomba chochote ocd huwa mkali mbona hk anachokifanya co haki?so ile pr.ilvyokubaliwa kule mgodini,walnz baadh walipoteza ajira zao,ambazo zljazwa na polisi ambao walikuwa wanaenda kwa shift,na kila shift askari alikuwa analipwa sh.40,000 cash.Managng director akajua kumbe huu kwel msaada bila kujua wamemkabdh fisi bucha,kwan GGM ilikuwa kwenye mazungumzo na vijiji vya jirani kutafuta sehemu ya kumwaga zle waste watu waokote vzur,badala yake polc ndo wakawa wezi mara mbili,waliwapga vjana na kuwapora mali zao,hapa polisi walikuwa na mawasilsho malumu per dei kwa ocd na mkuu wa ktuo ambae alimgawia shelutete,so ilpozuka fujo kule nyamongo huku geita ilikuwa imeshatokea,kwan watu zaid ya 1500 walisumbuana na walnz na askar polis wakitaka kuingia mgodn kwa nguvu kwani polc wamekuwa wajitajirisha kuptia migongo yao,ilikuwa fujo,mabomu ya machoz yalitawala na risasi za moto,kutokana na wng wa raia,mgodi uliamua kubadlsha sehemu ya kumwaga waste na kupeleka mbali zaidi lakn kwenye mashamba ya watu bla idhn yao,kuna timbwil lnaendelea had sasa,so ilpokuja nyamongo uongoz ukaona kumbe hawa polisi ndo hawafai,wakawatoa,bt polc bdo wanawinda njian usiku km kawa.nawasilisha

10. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#10
Aug 8, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,517
Likes Received: 2,259
Trophy Points: 280
ngoja kwanza nisherehekee sikukuu ya wakulima kwa kulala. alamsiki tz..

11. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#11
Aug 8, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,249
Likes Received: 3,836
Trophy Points: 280

Heeee kwakweli inatisha hii ndio serikali ya ccm!!

Loading...