Ni kweli mbunge wa Geita kapata kashfa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli mbunge wa Geita kapata kashfa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muangila, Jul 24, 2011.

 1. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Wadau kwa siku mbili zilizopitz nilikuwa katika mji wa Geita Mwanza habari zilizoenea ni kwamba mbunge wao Reonard Max amezuiwa kuhudhuria vikao vya bunge kutokana na kashfa ya kufumaniwa na mke wa mtu je kuna ukweli katika hili au ndo si hasa?
   
 2. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  fatilia nahisi sio kweli maana jamaa ni mlokole wa ukweli hajawahi kunywa hata tone la pombe tangu az
  aliwe
   
 3. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Walokole ndiyo wanaongoza kwa mambo ya uzinzi, ushirikina, umbeya, masengenyo na kupenda utajirisho wa haraka haraka. Ulokole ni kama kichaka cha kujificha wanapofaya uovu wao
   
 4. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,746
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Kimboka one.............. huwajui walokole wewe!!!
   
 5. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nadhani mnahama kwenye mada! Ulokole na ubunge na uzinzi kuna connection gani? Kama kazini ahukumiwe kama mtumwinginesio kama mlokole au mbunge! I mean mjadala hapauwe ni kweli ama si kweli kuwa amefumaniwa na mke wamtu
   
 6. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Shetani huwa anawaibia mpaka makaratasi ya kupeleka tume ya maadili, labda hata huyu bwana shetani alimletea mzigo wa mtu akiwa amelala.
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Hata mimi namjua ni mlokole wa kanisa linaloitwa bar,divai anayotumia ni aina ya whisk na mkate wake siku zote akiwa kanisani ni totoz,CCM OYEEEEH.
   
 8. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 4,273
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Sijui kwanini viongozi wetu hawakumbuki kuwa hii ni miaka ya media, wao wako kama vitambaa vyeupe kwa sasa, lakini sababu ni watu waliozoea mambo mambo basi inakua karaha tupu!
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kuzini si crominal na haiwezi kumzuia MP kuhudhuria vikao vya bunge. Mtoa hoja bado hajaingia jando la great thinkers hivyo anataka watu wajadili kisichofaa kujadiliwa.
   
 10. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naamini mhe. anatusoma,mm naomba ajitetee mwenyewe.
   
 11. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naamini mhe. anatusoma,mm naomba ajitetee mwenyewe kukaa kimya kunaashiria amekubaliana na kashfa hiyo
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  labda ueleze 'mlokole wa ukweli' ni mtu wa aina gani?hana bunduki au bunduki yake haifanyi kazi??!
   
 13. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wewe unamfahamu Max kweli? Wilaya ya Geita hakuna mnywaji mashuhuri kama huyo Mbunge!! Hilo la ugoni sijui lakini la unywaji nakuomba usidanganye hapa jamvini tafadhali.
   
 14. M

  Moris Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau m npo geita now,huyu jamaa n mlevi sana,na kuwadhalilisha wanawake kwake ilikuwa n kitendo cha kawaida bar hasa ambassador club sehemu ambapo alikuwa anapenda sana kunywa kabla hajawa mbunge,alitumia kibuli chake hicho kuwachoma vidole wanawake mbele za watu kisa tu kajenga public toilet mjini,na kufanya marekebisho Geita sec.kuhusu hili swala la kufumaniwa tetesi hizi zipo hapa mjini sana but cjaprove sana,i promise 2 give u reality tomorow,lkn kitu kingne n kwamba inaweza kuwa kweli coz jamaa daily namuona hapa mjini wakati wenzie wanajadil bajeti.
   
 15. D

  Dotori JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Stori ina mashaka! Hakuna kanuni inayomzuia mbunge kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kosa la kufumania.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hajasema POMBE,,,,,,,KAZUNGUMZIA UZINZ
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kutembea na mke wa mtu si jambo jema na ikithibitika mahakama inakuhukumu
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Mfano mzuri ni JIZI Mary Mwanjelwa
   
 19. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Who is Mary Mwanjelwa?I remember one female singer by the name Tabia Mwanjelwa! I do not know where she disappeared after the song that I used to like alot in earlier 80's
   
 20. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  She disappeared in Germany. Mary is an MP who was recently caught stealing hotel material in arusha. Her case appears to have been hushed
   
Loading...