Recent content by Moo Click

  1. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Wadau mbona mi picha kwanga haziload? Soini picha just a broken thumbnail!!!
  2. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Does anyone has an idea about getting a phone call from international codes?

    Mbona kawaida sana hiyo. Na moja ya juu umesha andikiwa ni Congo kinshasa ya chini andika Google itakwambia ni Code ya wapi.. Anyways sema shida yako ni nini hapo labda?
  3. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

    Levels...Levels Ova
  4. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    A.K.A Miss Tanzania
  5. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kiwango cha pesa kinachobaki kwa ngazi ya mshahara wa TGSD baada ya makato

    Loan Board huwa ni 15% au hii 15% ni kwa Private?
  6. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Nimehamia kwangu

    Mkuu Excel iko wapi?
  7. Moo Click

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Hawa ndio wale wanakomaa uko eti Wanaume wanapenda Sex. Ukifatilia utakuta ndio kitu pekee wanatoa kwa mwanaume sasa kwanini tusipende? Ubaya anataka aingie na akili hiyo hiyo kwa ndoa. Siku mume mambo yakibadilika inakuwa tabu hana akili za kutafuta.
  8. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kiwango cha pesa kinachobaki kwa ngazi ya mshahara wa TGSD baada ya makato

    Man. Relax TGSD zinarange zake ni mara mia ungemaliza na kiasi kabisa wadau wangekusaidia
  9. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Shida tupu yani
  10. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Wivu na Husda zimewajaa Waja
  11. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Akufaaye kwa dhiki ndio rafiki. Marekani Imewekeza Trilioni 11, Urusi Imewekeza nini Tanzania?

    Nenda kasome... Secret Covenant by John D. Rockerfeller Mlisha ambiwa hamna cha bure duniani. Nianze na wewe mleta mada. Unaweza mpa mtu hela za bure bure? Stuka amka uliko lala
  12. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

    Yani huu uzi wako kuanza kote kumbe ulikua una yako na Ray Kigosi dah...sawa mkuu ujumbe umefika.
  13. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za kumlipa Mfamasia kwa kwezi, Nataka kufungua Famasi

    Kwa mwezi leseni yake sio chini ya M 1 hamna hamna weka 800k then mshahara wake nao cheza humo humo kwa kwezi 750k - 1 M tena NET So on average cheza kwa 1.5 - 2M
  14. Moo Click

    JamiiForums Tanzania Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    Kotaana sio kotanda.. Marekebisho apo Mnama
Back
Top Bottom