Recent content by Moo B

  1. Moo B

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    Katiba mpya ni muhimu katika kumwajibisha kiongozi aliyeshindwa kutekeleza ahadi alizohaidi wakati wa uchaguzi sasa mtu kama simbachawene hawezi kukubaliana na katiba mpya kwa sababu wao ndio wanaoongoza kuahidi ahadi ambazo hawatekelezi ndio maana 60years ya uhuru Tanzania bado tunazungumzia...
  2. Moo B

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene usiwe kigeugeu ndugu yangu

    Alifeli ifunda hiyo degree ya sheria ina walakini maana aliipata baada ya kuwa mbunge ie watu waliosoma sheria wanajua mziki wa kupata hiyo degree lakini hawa wakina simbachawene hizi degree wao wanataka vyeti na tittles ila sio content ya walichosomea
  3. Moo B

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene usiwe kigeugeu ndugu yangu

    CCM na wat wao wanatumia ujinga wa watanzania kula mema ya nchi sasa mtu amekua mbunge kwa vipindi vitatu mfululizo eti bado anajivunia kuzungumzia changamoto zilezile ie maji, umeme, afya na barabara lakini hii yote shida inaanzia kwenye mfumo hakuna sehemu yoyote mwananchi/mpiga kura anaweza...
  4. Moo B

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Hizo dini za mapokeo zinatuvuluga sana waafrika sasa ukimuuliza hata hiyo dini yake mwenyewe ameletewa na mwarabu by the way hizi dini za mapokeo sio kwa faida ya mwafrika zipo ili kutugawa, kutudunisha na kupora asili yetu. Hakuna mwuislamu au mkristo safi akiwa mwafrika hizo dini ni bora kwa...
  5. Moo B

    JamiiForums Tanzania Ugali ni chakula ambacho hakijawahi tengwa mahsusi kwenye meza kuu za Wafalme na Masultani, kinahusishwa na uduni wa kiuchumi

    Waambie na pilau nalo ni chakula kwaajili ya watumwa inawekwa viungo vingi ili isiharibike haraka waendelee kula kwa muda mrefu wawapo safarimi
  6. Moo B

    JamiiForums Tanzania Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

    Hii chai ongeza tangawizi kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Moo B

    JamiiForums Tanzania Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

    Mapenzi muachie yesu tu aliyeupenda ulimwengu mpaka akajitoa sadaka tafuta pesa kijana
  8. Moo B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

    Mahakamani issue sio kutenda haki ila haki inatakiwa ionekane inatendeka ie uhuru wa kutoa taarifa za mienendo ya kesi kama anavyofanya huyo bwana sasa unapozuia watu kutoa taarifa wanataka kuficha nini
  9. Moo B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wa Zambia kuelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN watumia ndege ya abiria ya Qatar Airways ili kupunguza gharama zisizo za lazima

    Chief Hagaya anasafiri mara tatu kwa wiki Dar-Dom[emoji38][emoji38]
  10. Moo B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Tozo zisizo na msingi zifutwe

    PM anazingua kwani baadhi ya hizo tozo si zinapitishwa bungeni au zinaletwa na mawaziri na yeye ndio mkubwa wao au anakua anatuchora
  11. Moo B

    JamiiForums Tanzania Exhibition Fight Mwakinyo vs Twaha Kiduku

    Kwani ili kiduku au mwakinyo waonekane bora ni lazima wapigane, kwanini kila mtu asipimwe kwa kushinda mechi zake
  12. Moo B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

    Naona bi mkubwa anaenda kua Kama posh queen [emoji2957][emoji1787][emoji1787]
  13. Moo B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke akiwa hedhi anamchukia Kila mtu

    Wewe kama wife akiwa period anakua na genye vibaya sana mwanzo nilikua simuelewi ila sasa yaani hata kama anavuja pedi inawekwa pembeni napeleka moto
Back
Top Bottom