Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

Umri wako upoje kaka?? Ni 18-25 au 25-30 au 30-35 au 35+?? Kama upo chini ya miaka 25 bado wewe mwenyewe huenda ni changamoto utoto mwingi ila kama upo juu ya 25 jiangalie tatizo hadi binti haeleweki nini shida?
25-30 ndo Umri wangu una range apo,aina ya wanawake ni hawa ma slay queen awa
Ila hapo kwa mpenzi bubu nimekupata poah ntaitumia mbele ya safari.
 
Huu ni ukweli watu wengi hawaufahamu. Nikupe pole lakin pia nikuambie tu huu ni muda wa kujenga character yako. Be the best man.. the better man. Then the best woman atakuja.
Dont be sad for any bitch.. akijifanya busy. Ww futa namba kabisa.
Point taken
 
Mapenzi muachie yesu tu aliyeupenda ulimwengu mpaka akajitoa sadaka tafuta pesa kijana
 
Mungu anaeza kua na makusud ju yako maana unaonekana ni mtu flan iv mstaarabu lkn hao ulokutana nao hawana sifa hizo so subir huku ukiomba mungu akupe chaguo sahihi la maisha

Maana hao huenda walikufanya spea tair na walipoona huna msaada wa walivyovtaka ndo maana wakaamua kuendelea kutafta mbele zaid

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tafuta fwedhaa, narudia tena tafuta paso/pesa, Ukiwa nazo za kutosha hutokuja kusumbuliwa na ka mdudu kadogo sana haka kanakoitwa mapenzi.

Ukiwa na pesa za kutosha utakuja kula kila aina ya mwanamke, wa kila rangi, shape na kabila na mkoa wowote hapa nchini. Acha kupenda kupitiliza utakuja kufa kwa stress, kama una ugwadu si kuna madada poa wamejaa tu unaenda kufurahisha moyo kimtindo then unaendelea na mishe zako.
 
Asante kaka
 
Apo kwa madada poah ndo Changamoto, am a Rastamani
 
Aha wewe kipi kimekutokea kaka
Ni kama yote uliyoyaeleza ndio yanayonitokea kwenye maisha yangu, yapo mengi nikisema niyaeleze hapa sitamaliza lakini kiukweli ni mambo yanayotukosesha amani katika nafsi zetu
 
Mkuu uhandsome kweny mapenz sio dili saiv pesa pesa pesa na hakikisha unapiga pumb** haswa mpk mbunye isime “tosha baba”huenda unapiga cha kuku kimoja chal alaf kuhudumia mvivu unatakiwa kuwa na mbwembwe alaf acha kupenda ovyo ovyo raha ya mapenz ni kupendwa kwanz utabak kulia kila siku kumbe tatizo ni ww mwenyw
 
Ebu share kidogo kaka Tuweze kujua changamoto ni Zipi
 
Mkuu uhandsome kweny mapenz sio dili saiv pesa pesa pesa na hakikisha unapiga pumb** haswa mpk mbunye isime “tosha baba”huenda unapiga cha kuku kimoja chal alaf kuhudumia mvivu unatakiwa kuwa na mbwembwe alaf acha kupenda ovyo ovyo raha ya mapenz ni kupendwa kwanz utabak kulia kila siku kumbe tatizo ni ww mwenyw
Poa poa
 
hivi mnawezaje asee yani mwanamke wako anaweka picha ya mwanaume Dp na unashangaa tu yani mimi kama sio ndugu tena kwa uthibitisho hiyo ni game over hutonisikia.
 
Back
Top Bottom