Recent content by Money Box

  1. Money Box

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

    Icheki the last ship hutojutia mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Money Box

    JamiiForums Tanzania Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

    Ahsante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Money Box

    JamiiForums Tanzania Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

    Msaada wakuu Nimepoteza USB receiver ya wireless mouse ya Lenovo ila kuna receiver nyingine ya Lenovo nayo haina mouse kuna uwezekano wa kuiunganisha hii mouse na receiver isio yake. Kwa yeyote anaejua please cc @chiefmkwawa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Money Box

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wanayo hoja?

    Tatizo sio hoja tatizo ni njia na mbinu wanazotumia hao wasauzi
  5. Money Box

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo Wanawake wanafahamu kupika Chakula na mikoa mbayo wanawake hawafahamu kupika Chakula kizuri ni hii hapa...

    Mkuu umezunguka mikoa yote iyo kujua mapishi au umesomea upishi
  6. Money Box

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unauelewa nacho, ambacho ungependa watu wengine wakijue?

    [emoji23][emoji23] dah
  7. Money Box

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unauelewa nacho, ambacho ungependa watu wengine wakijue?

    Habarini wakuu, kama inavyojieleza kuna wakati unakutana na kitu fulani na unaona ni kizuri. Unapenda watu wengine wakijue, ili na wao wapate kufaidika kama unavyofaidika wewe. Nimeona nije na huu uzi sababu nahisi kuna vitu vingi humu ambavyo kila mmoja anavijua kwa upande wake na angependa na...
  8. Money Box

    JamiiForums Tanzania VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Kwaiyo hata kama wazazi wote wawili wameathirika wanauwezo wa kupeana mimba na kupata mtoto asiyeathirika
  9. Money Box

    JamiiForums Tanzania VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Ivi mjamzito aliyeathirika na VVU inawezekanaje akawa na ujauzito afu mtoto asiathirike, na pia HIV anakua kaipata baada ya ujauzito au inawezekana waathirika wakapeana mimba baada ya kuathirika na kuzaa mtoto asiyeathirika na HIV?
  10. Money Box

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye akili na heshima hatuolewi?

    Huwa mnaona wanaume wanaowafaa wanatoka mbinguni, kumbe ni sisi tunaowazunguka punguzeni manyodo mkuu. Pia wanaume hatupendi mwanamke mjuaji sana kama walivyo wasomi wengi maana mnasumbua sana kwa kibri na jeuri.
  11. Money Box

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1X wamerudisha option ya mobile payment?
  12. Money Box

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wote wanafanana ,wote wanatamani tu

    Wanaume tunapenda ila kichwa cha chini ndio kinatamani
Back
Top Bottom