Ok pole mkuu, je kuna leakage yoyote kwenye hiyo miguu ya laptop pande mbili zote, ilishawahi kuanguka?Ni Lenovo G580 mkuu windows 10 bro.
Mkuu Unapata Hiyo Error Sababu:MACOS Yako imeshindwa kuigundua Wifi Adapter Yako, Hiyo inatokana na mambo mawiliMac book pro yangu nikiconnect wi fi inasema..NO HARDWARE INSTALLED,nifanyaje?
Then Lenovo G Series Kwa Experience Yangu Huwa Zinakufa Sana Bios, So Kama Njia Hizo Zikishindikana Basi Peleka Kwa Fund. Ila Kwa Maelezo Hayo Ni Windows Ndio Tatizo.Ni Lenovo G580 mkuu windows 10 bro.
Ok pole mkuu, je kuna leakage yoyote kwenye hiyo miguu ya laptop pande mbili zote, ilishawahi kuanguka?
kama vyote havijawahi najua kuwa hiyo itakuwa ni driver update za graphics ndio zinakusumbua, so kwa point uliyofikia hapo unaweza Kufanya Mawili:
1. Kama unaweza kufika kwenye windows basi ingia kwenye device manager na Unistall Graphics Driver Then Restart
2. Unaweza Kuifungua PC Yako kwenye safe Mode Kama pia una ACCESS ya Windows Home.
3. Ikishindikana Vyote From My Experience Kwa Windows 10, Fanya Fresh Installation Ya Windows Nyingine.
Karibu
Ukiwasha Pale pale Tu au baada ya kuweka password?Thanks a lot mkuu.
Ila tatizo ni kuwa ukiiwasha tu inaleta rangi nyeupe kioo chote ukiizima ukawasha inafanya hivyo hivyo, yaani haioneshi chochote kwenye screen kiongozi.
Ukiwasha Pale pale Tu au baada ya kuweka password?
nakuuliza kwa sababu mwanzoni ulisema ukishaweka password ndio inakuja hiyo White Screen.
Hebu weka maelezo vizuri.
Au NIJIBU HILI SWALI: White Screen Inakuja Ukiwasha Kabla Au Baada Ya Logo Ya Windows?
Ok hapo nimekuelewa mkuu, so kwa mimi naweza sema ni hardware au software issue, so kama ningekuwa nayo au kukushauri ungeajaribu kufanya kama una install windows ili tuone kama inawezekana au haiwezekan, kama haiwezekan hiyo itakuwa ni hardware issues kwenye graphic mchezo huu upo sana kwene AMD, Au Ribbon Cable ya Kioo Imeachia Kidogo.Well, Jana nilivyowasha ikawaka na ikaonesha mpaka logo na ikafika mpaka sehemu ya password, nikaweka password nika-press ENTER ikaanza ku-fade taratibu mpaka ikawa nyeupe screen yote.
Nikasema ngoja nii-restart nikafanya hivyo ikaja hiyo rangi nyeupe tena. Nikatoa battery nika-connect direct na adaptor bado ikawa hivyo, nikaipumzisha then baadae nikawasha tena still ikawa hivyo mpaka jioni hii. It means haikuleta tena logo wala sehemu ya password imekuwa white tu kila nikiiwasha mkuu.
Hope nimeeleweka vyema kiongozi. Thanks.
Ok hapo nimekuelewa mkuu, so kwa mimi naweza sema ni hardware au software issue, so kama ningekuwa nayo au kukushauri ungeajaribu kufanya kama una install windows ili tuone kama inawezekana au haiwezekan, kama haiwezekan hiyo itakuwa ni hardware issues kwenye graphic mchezo huu upo sana kwene AMD, Au Ribbon Cable ya Kioo Imeachia Kidogo.
Kama Ushampa Fundi Its Ok. But Am Sure Shida Itakuwa Hapo
Asnte
Basi Itakuwa Mkanda Au Kioo Chenyewe, Pole Mkuu.Nafkiri cable ya kioo inaweza kuwa na tatizo coz mwanzo alivyoifunga motherboard wakati naitumia kwa chini kabisa ya screen kulikuwa na mstari mweupe una-blink hivi...!
Basi Itakuwa Mkanda Au Kioo Chenyewe, Pole Mkuu.
Karibu MkuuThanks a lot kiongozi wangu. Nitakupa feedback mkuu. Thanks again.
Karibu MkuuHizi Nondo Muhimu sana
Sawa Mkuu Tukipata Nafas Tutapandisha Nyingine.Mkuu shikamoo! Aise Asante, notes nimeshaziprint nasubir sekandi sesheni
NimelizungumzaHapo Juu Hilo Tatizo?Mkuu mie Nina Laptop ya Dell,tatizo lipo nikiweka kwenye charge mouse yake inakuwa nzito Ku move Ila nikitumia zile mouse za kuchomeka tatizo linakuwa halipo