Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,811
- 2,483
Hapa nimekuelewa vizur, mmesikia nyie mliooa? tuachieni kina miss natafuta, Mnatuharibia wake zetu wa baadaye.Na nyie wanaume mliooa wacheni kutusumbua pambaneni Na machaguo yenu huko.
Hapa nimekuelewa vizur, mmesikia nyie mliooa? tuachieni kina miss natafuta, Mnatuharibia wake zetu wa baadaye.Na nyie wanaume mliooa wacheni kutusumbua pambaneni Na machaguo yenu huko.
Wee kama mimiYaani sipendi mwanamke anayependa kuwasiliana kila saa kama wanafunzi, tena akiwa analeta lawama sana ndo ananipa ticket ya kumpiga chini.
Kitamuuu....kibamia cha nazi ndo kikoje hicho Miss Natafuta
Ulishaona wapi jogoo ana mtetea mmoja??Ni ngumu sana mwanamke kupata mwanaume anaekupenda. Wengi wao
Akishakugegeda anawaza kupata k mpya.
Hapo wewe mwanamke ndo ushakufa Na kuoza juu yake. Ukute tena ana kibamia cha Nazi ndo utakoma.
Ukishaona mwanaume hakutafuti kwenye simu ,mawasiliano hayapo hayapo mpaka uanze wewe jiite tu bikra kama Mimi miss .jua huna chako wacha kusumbua watu kuomba ushauri.
Na nyie wanaume mliooa wacheni kutusumbua pambaneni Na machaguo yenu huko.
[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]Ndo ukome
Hahahaaa, hapo lazima kuna jambo, kama tulivyonusurika kufahamiana wakati uleee,mpaka leo sijawahi kuijua sura yako ila upo veeeery open,hiyo tu hufanya nikusome some!!!!Ni ngumu sana mwanamke kupata mwanaume anaekupenda. Wengi wao
Akishakugegeda anawaza kupata k mpya.
Hapo wewe mwanamke ndo ushakufa Na kuoza juu yake. Ukute tena ana kibamia cha Nazi ndo utakoma.
Ukishaona mwanaume hakutafuti kwenye simu ,mawasiliano hayapo hayapo mpaka uanze wewe jiite tu bikra kama Mimi miss .jua huna chako wacha kusumbua watu kuomba ushauri.
Na nyie wanaume mliooa wacheni kutusumbua pambaneni Na machaguo yenu huko.
Nilishawah kupata dem Wa type hii. Yan kila mda anataka mchat, msumbufu mbaka anakera.. Usijibu SMS au kuto kupokea cm alikuwa analalamika.. Baadae mwenyewe akajiondosha.Yaani sipendi mwanamke anayependa kuwasiliana kila saa kama wanafunzi, tena akiwa analeta lawama sana ndo ananipa ticket ya kumpiga chini.