Recent content by money bag

  1. money bag

    JamiiForums Tanzania Bernie Sanders ndiye Raisi ajaye wa USA

    Pole sana zumbukuku Hillary Clinton kashapitishwa na chama chake. Poor prediction
  2. money bag

    JamiiForums Tanzania Aisee hata JF kuna mabinti visu

    Tatizo ID unashindwa kujua he/she sasa ngoja nianze operation sangara
  3. money bag

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Ni haki kabisa ya mtt wa rais kulindwa na kuhudumiwa na serikali. Leo akitekwa au akiuwawa ww unafikiri itamgusa vp rais ktk kutekeleza kazi zake za urais. Ikiwezekana mtt apewe helicopter
  4. money bag

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akina dada kulamba kunawanyima haki ya kuolewa

    Mtoa mada ametokea wapi? Anaitwa nani? Baba yake anaitwa nani? Mama yake anaitwa nani? Anakwenda wapi?
  5. money bag

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesitisha uhusiano na rafiki wa mume wangu, hataki kukubali

    Dah ukisikia kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi ndio hii sasa. Mi nakushauri kula ngumu ya jeshi, usimreport polisi huyo hawara yako, tulia kimya jitenge naye, simu zake block hlf usikilizie.
  6. money bag

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu uchaguzi wa magari

    Mkuu mbona hata used yako pouwa ukipata kuanzia year 2002 low mileage from Japan fresh kbs
  7. money bag

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu uchaguzi wa magari

    Ongezea 1M na laki 8 uchukue BMW 3 series enjoy the luxury and fast beast
  8. money bag

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hahahahahaha
  9. money bag

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina maumbile madogo ya uume

    Fanya mazoezi ya kegel na jegling ndani ya wiki 2 mboro hilo linakuwa refu na nene. Ila unatakiwa kila cku upime isije ikawa kubwa sana
  10. money bag

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Ole wao wa nchi ikitawaliwa na vijana wenye nguvu. Muhubiri
  11. money bag

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joto la Asubuhi (Hando, PJ na Adela) vs Power Breakfast (Masoud, Fredwaa na Barbara)

    PB is the best mzee, well organized. Joto asubuhi mamiziki yasio na P.O BOX. pj na hando ni wazuri ila gari waliopanda mbovu
  12. money bag

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mahakama ya ufisadi itaanza kazi mwezi Julai

    Mv dsm, nyumba za serikali
  13. money bag

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiumiza kichwa

    Dah bora mwanaume asaliti kuliko mwanamke aisee. Kitumbua cha mke wako kiliwe dah
Back
Top Bottom