Habari ndugu zangu,
Ninamshukuru Mungu kwa namna ya pekee kuungana na familia hii kubwa iliyo jaa watu makini. Naomba nami nitumie nafasi hii kuomba ushauri. Nina kiasi cha 9M na nahitaji kuagiza gari Japan, nimeona magari mengi mtandaoni, mf. suzuki swift, cami,corolla runx n.k, mimi nataka gari yenye cc mx 2000. ni gari gani ambayo inamfaa mwaume, maana watu bwana, mara ooh! hiyo ya kike ooh! hicho kidogo sana ss nachanganyikiwa ni nunue gari gani la kiumme?
Naomba kuwasilisha ndugu zangu