Aisee hata JF kuna mabinti visu

Aisee hata JF kuna mabinti visu

Ilikuaje mkakutana mkuu, hebu nisaidie hzo mbinu na mmi nijitahidi huenda nkakutana na sime yenye kisu
inatokea mkuu.. unaweza kuwa kwenye mada fulani then ukatokea ukaribu fulani mpaka wa mawasiliano. japo usiishi kwa kutegemea mambo kama hayo.. hutokea yenyewe ila not always the case. nadhani umenielewa
 
Naantombe sema tu kama ulimnaantombe. Unaficha ficha nini? Aaaaargh!
Hapana mkuu sija m naantombe bana. Mambo taratibu sio kukurupuka. Yaani ukutane na mtu siku moja halafu utake kum naantombe no no no.. hiyo ni blunder move.
 
Back
Top Bottom