afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,779
Kama hajui mapenzi basi ahahakikishe ni mke bora tu...maana ngono ndo kila kitu ila ndani ya ndoa ...lazma anipagawishe
Mleta uzi umeongea jambo la msingi sana lakini wengi wao wanaonekana kuenda mambo kama hayo maana ndo kizazi cha kisasa mambo yaKimungu walisha yatupa mbali wanafanya yale wanayoona yanafaa machoni pao hata kama ni machukizo
Wa Dar huyo.Huyu jamaa katokea wapi??
Wa Dar Silaam huyo.[emoji1] [emoji1]Mkuu wewe ni wawapi?
mtoa mada safi sana. Hongera ningekuwa karibu ningekununulia maji ya kunywa kbs au soda. Huu ni uchafu kbs hata vitabu vya dini vinakataza. Km mtu anabisha athibitishe ni wap wameruhusu huu usodoma na ugomora? Watakao kwenda mbingun ni wachache sana, tunafanya matukio mpaka shetan anatushangaaa. Inaonekana walamba koni na uke wapo weng sana humu hata siamin. Bado wafilaji na wafilwaji. Aliyecomment kushadadia kulamba tupu ya ke na me huyo ni mfuas, weka tick hapo. Halafu uje na part 2 list ya walamba koni na ke. Huu ni ujinga kbs uliotukuka. Kitabu gan hicho cha din kimeruhus huu uchafu? Mm nikijua unamambo haya nikusepa mapema hunion tena. Nyie kuzimu inawaita hamna tofaut na mashoga au wasagaji. Dunia hii ukistaajab ya musa utashangaa ya firauni. Mungu hawarehemu. Na kweny nyumba za ibada mnaenda? Huwa mnaenda kufanya nn? Aise polen sana. Huyo mnae muabud ni shetan na sio Mungu wa watakatifu. Mm hata nikimtukana mtu huwa moyo wangu unakuwa mzito sana niwepo church, nakosa aman kbsa. Nyie hamna tofaut na wanafiki wakina yuda eskariot.
aise hata siamini. Dhambi zimehararishwa. Mungu aturehem sbb tunakoelekea siko ndiko kbsa. Aise! Mungu wangu naomba uwasamehe vijana wako wamepotea njia, hawajui waendako. Vitabu vya dini vinakataza uchafu huu lkn wanao wamekuwa wagumu kuelewa wanaona chochote wanachokifanya wao ni sawa. Turehemu tunahitaj kuuona ufalme wake tena. Polen sana mnaofanya hiyo mambo. Mungu mweny huruma na nyakat hiz tunaish kwa neema ya MUNGU lkn ingekuwa nyakat zile. Tungechomwa moto km sodoma na gomora.
Ushukuru huyu aliyekulamba koni je ungekutana na wale wanaolamba 071...sijui ungekuja na mada gani
Ushukuru huyu aliyekulamba koni je ungekutana na wale wanaolamba 071...sijui ungekuja na mada gani
Sinahakika kama huyu ni ME labda ni KEMkuu ushawahi kulambwa koni lakini au unasema tuu!
Kama ni Me basi hajawahi kulambwa cone iseeh..Sinahakika kama huyu ni ME labda ni KE