Recent content by MONDEYA

  1. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko maswa, simiyu natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi tokea mkoani geita idara ya msingi. Aliye tayari 0756832821
  2. M

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    Moyo wa subra huwa una mwisho! Kwa nini iwe kwa upande mmoja tu? 'serikali ya kiholela'
  3. M

    Ajira mpya za walimu januari 2013

    Nashukuru saana Fay
  4. M

    Kiswahili cha "SOFT COPY" na "Hard Copy"

    Omonto unachosema ni sahihi kabisaa kwa sababu hata wataalamu wa lugha wanamaizi kuwa hakuna lugha iliyo bora kuliko nyingine, lugha yoyote ni bora kwa sababu inawawezesha wanayoitumia kuwasiliana! Kiswahili ni lugha inayojitosheleza katika nyanja zoote
  5. M

    Kuoa/kuoana

    Kwa uelewa wangu anayeoa ni mwanamume na ndivyo linavyokubalika hata katika jamii nyingi za kiafrika, kwa mfano kijana (wa kiume) wa mzee flani kamuoa binti wa mzee flani na wala si kinyume chake
  6. M

    Ajira mpya za walimu januari 2013

    Aksante isaack na hongera kwa kulijua hilo, issue c kuangalia kwenye mtandao tu kuna watu wa info kuliko unavyodhani! nikupe pole kwa kudhani kila kitu kinapatikana kwenye mtandao, kinapofika kwenye mtandao wenzio tayari wanjua kila kitu.
  7. M

    Ajira mpya za walimu januari 2013

    Jamani wana jf majina ya walimu wapya yametoka mtandaoni?
  8. M

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    nashukuru kk nitaitumia kwa kutuelimisha. kwanza dawa ni rahisi kupatikana, pili ni pesa kidogo ambapo kila mmoja anweza kuimudu, tatu haina kemikali ambazo ni hatari kwa miili yetu. Thank u very much!!!!
  9. M

    Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

    Aksante sanaaa, all de best in de coming new year 2013
  10. M

    Naambiwa nimechelewa

    Akunyimaye mbaazi, akupunguzia mashuzii
  11. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    Aksante sana mtu wangu, watu wengi tunakosa fursa kwa kukosa taarifa.
  12. M

    Mtwara: M4C yazidi kuibomoa CUF..

    Tunawatakia kila kheri CHADEMA mtwara
Back
Top Bottom