Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

734953_321480541301602_140018432_n.jpg
 
Mkuu Mbuzi Mzee Tanga kuna tisha waja leo waondoka leo khaaaa wadigo ndio mwisho wa yote hapo Tanga hapana nina paogopa bwana........................

Maalim Mzizi, mimi niliogeshwa na maji ya hiliki tena kwenye kisaani, walah sinto shau Tanga mie. Yaani we acha tu, yaani waliwa kama Samaki wa Kupaka.
 
Duuuuh! Mbuzi Mzee, nikajua utaleta maneno ya busara kuukaribisha mwaka mpya, kumbe unataka tuanze na ngono?:confused2:
 
tigo ndio mpango mzima Tanga...by Mzizimkavu ' quote
 
Duuuuh! Mbuzi Mzee, nikajua utaleta maneno ya busara kuukaribisha mwaka mpya, kumbe unataka tuanze na ngono?:confused2:

Saa Sita kamili utapata Wazo la Mwaka 2013, hii ni funga 2012 ingia 2013.
 
[h=5]Petroli bei juu, umeme hali kadhalika,kodi za nyumba balaa,mchele na nyama ndo usiseme, makanisani sadaka juu wanataka noti sio sarafu.Mahari/posa nazo hatari, school fees utadhani unanunua shule, nauli ya mabasi nayo balaa.Je hii ndiyo HAPPY NEW YEAR 2013 tunayotakiana au ni HEAVY NEW YEAR?Tutafakari kwa undani
[/h]
 
Salaam,

Mwisho wa mwaka ndio huu, Namshukuru MUNGU ametuweka hai hadi sasa, wengi wetu tukiangalia tumefanya mambo kinyume na maagizo, amri, sheria zake huyo aliyetulinda...hebu tujiulize ni jambo gani kubwa zuri ulilotenda unaweza kujitetea kwake kuwa ulimtendea huyu MUNGU aliyekulinda, kukufanikisha hivi?

Kwa wale ambao mwaka huu 2012 ulikuwa wa mafanikio katika elimu, afya, kazi, jamii(familia n.k) Hongera na pongezi kwenu.

Kwa wale mwaka huu ulikuwa na changamoto kubwa, mwaka kuwa mgumu kwao(kielimu, kijamii, kikazi, kutotimiza malengo n.k) Pole...tushukuru kwa yote na tusikate tamaa.

Mwaka mpya(tunaoutarajia) ni malengo gani umeweka, umejiandaaje kukabiliana na changamoto zijazo.


Msamaha kwa wote tuliokoseana kwa kujua na kutokujua.

Naam,
Heri ya mafanikio kwa mwaka 2013 wana-JF wote na wageni(guests) pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom