Mtwara: M4C yazidi kuibomoa CUF..

Mtwara: M4C yazidi kuibomoa CUF..

Hata mwenyekiti wa kitongoji wa CDM Naye ni sawa na wabunge 50 wa ccm? Kama ndio hivyo CDM haiwezekaniki
 
Tunawatakia kila kheri CHADEMA mtwara

Sasa kama uongozi wa M4C unapitia humu jamvini ufanye ziara Tanga kwani nimegundua wananchi wengi wanashauku kubwa sana lakini wanakosa fursa ya mashambulizi ya nguvu.NI WENGI WANATAKA KUVUA MAGAMBA KWA UONGOZI WA KITAIFA KWA THAMANI ILEILE KAMA KUSINI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom