Ajira mpya za walimu januari 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira mpya za walimu januari 2013

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MONDEYA, Jan 10, 2013.

 1. M

  MONDEYA Member

  #1
  Jan 10, 2013
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jf majina ya walimu wapya yametoka mtandaoni?
   
 2. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2013
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,423
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hata Mimi Sijui!
   
 3. I

  Izaack Member

  #3
  Jan 11, 2013
  Joined: Jan 4, 2013
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yaaaani, wewe inaonekana.... elimu yako haijakusaidia sana, time uliyotumia kuja kupost na kuliza hapa si ungeenda kwenye tandao ukaone kama majina hayo yapo au hayapo, pole just experience the situation subject to life challenge!!
   
 4. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2013
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Heading nazo muwe mnaziweka kwa mtindo wa maswali maana watu wengine wanasoma headings tu na wanaamini kila wanachokiona JF
   
 5. M

  MONDEYA Member

  #5
  Jan 11, 2013
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aksante isaack na hongera kwa kulijua hilo, issue c kuangalia kwenye mtandao tu kuna watu wa info kuliko unavyodhani! nikupe pole kwa kudhani kila kitu kinapatikana kwenye mtandao, kinapofika kwenye mtandao wenzio tayari wanjua kila kitu.
   
 6. f

  faysary Member

  #6
  Jan 12, 2013
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majina hayo bado hadi Jan. 19
   
 7. M

  MONDEYA Member

  #7
  Jan 13, 2013
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru saana Fay
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jan 13, 2013
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,966
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Bado haijatangazwa
   
 9. I

  Izaack Member

  #9
  Jan 13, 2013
  Joined: Jan 4, 2013
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pole mwandishi... nimekuelewa though bado yaelekea, hukunielewa vema, may critics ni hapo unapo uliza kama yametoka mtandaoni, wakati huo huo upo mtandaoni. kukusaidia ungeuliza hivi:" post za ualimu zimetoka, au lini zitarushwa kwenye mtandao"
   
 10. ABEDNEGO CHARLES

  ABEDNEGO CHARLES JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2013
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Got it!
   
 11. bornsave

  bornsave Member

  #11
  Jan 31, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leo tar 31!!!!!!!!!!!!!!!!!!:target:
   
 12. bornsave

  bornsave Member

  #12
  Jan 31, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  itachukua mda xana,,kumbuka kuna siasa:target:
   
 13. M

  Moses Mashika Member

  #13
  Jan 31, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jinsi ulivyouliza inaashiria kama we ni mwalimu bac serikali imeingia mkenge,hao wanafunzi watakuelewa kwel,be serious....
   
 14. K

  KITWANGAUTAM Member

  #14
  Jan 31, 2013
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 80
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Oya kuwa serious unapocoment mambo yanayowaweka watu attention....
   
Loading...