Recent content by Mohammed Khatibu

  1. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Wanaosema kazi au ajira hakuna, tuambieni mnataka kazi zipi?

    Six figure salary
  2. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

    Mi saiz nataman tu. Naona pichu zote sawa. Sikamatiki..!
  3. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania ‎Hivi ni kwanini Chips za Dar hazina ladha?

    Inategemea amepika Nani. Hizo za uchochoroni ni uchafu sio chips..!
  4. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Wingi wa maarifa na hatari YA sonona

    Knowledge can either be a curse or a blessing...!
  5. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua faida za ibada za asili/ matambiko

    Kunywa supu ya mbuzi kwa wingi...!
  6. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

    Siwez date na mtu ili anipe mchongo, it is highly unethical..!
  7. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwako wewe mwanaume

    Sasa unataka white collar abebe tofali..? Au sijakuelewa vizur boss.
  8. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Aint trusting no body and no body trust me...!
  9. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye UKIMWI wanakuwa na hasira sana?

    Adrenaline level iko high kwasababu ya uwepo wa virus kwenye damu. This triggers anger. Watu tuliopita mloganzila university tunaelewa hiyo ishu.
  10. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Hiyo hela hata baskel upati..!
  11. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Muarobaini wa Drones(fiber-optic drones) za Hezbollah Wapatikana!!

    Hela za kununulia hizo drones zingetumika kununua kreti kadhaa za beer na ndafu afu pande zote mbili zingeitwa mezani ili kutatua mgogoro..!
  12. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Usitoe vyote.... atacheat tu! Jifunze uchoyo

    It doesn't work here
  13. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Tuwaonee huruma hawa vijana jobles

    Wakuu, unakuta kijana anaishi mikoa ya kusini au kanda za pembezoni huko. Halafu anaambiwa interview aje Idodomya, logistic costs inabidi familia zijichange afu atatakiwa ahudhurie interviews kadhaa kabla ya kubahatika kupata kazi. Kivipi hapo yani, mtu anaweza tumia millions to attend several...
Back
Top Bottom