Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,329
- 7,792
- Thread starter
- #21
Wala Bali’s Magaidi wa Hezbollah walipoteza maeneo na mahandaki Yao!!Waisrael wenyewe wanaogopa Vita baada ya kuona Hezbollah inatumia Technology kubwa kuwadhidi!! Kwasasa Israel inatumia ma proo kutoka Colombia Mexico nk.
Israel kwishaaaaa kwasasa. Ndiomana Netanyahu anaogopa mgogoro ukisha !!
uku Iran bado inanguvu kubwa ni hatari kubwa kwao!!!
Uko mbele itakuwa Iran tu anajibutulia tu.
Na Israel itaufyata kimyaaa.
View: https://x.com/vividprowess/status/2058492018955792515?s=61