Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,360
- 11,588
Tokea nianze kutafuna chips za Dar sijaona utamu wowote kwa kweli. Yaani picha linaanza viazi vimeumuka halafu full mafuta kama vile unatafuna kipochi, havina ladha hata kidogo, viungo navyo vinaandaliwa kiholela holela, labda kidogo mayonaizi
Yaani chips za huku huwezi mdanganyia binti akakuelewa. Rejea chips za mikoa mingine kama Mbeya na Mwanza, kwanza kitu inachomwa unaskia harufu mtaa wa tatu, kitu ikiletwa mezani ikiwa na tomato pamoja na makolomboizo kibao, unaweza ukajikuta unatafuna ulimi
Zile chips ukishikiria mkononi halafu ukutane na toto la mtu, ni chap bin shwaaa, manyoyaaaaaaaa, shhhhhhh shhwaaaaa
Sielewi ni kwanini chips za Dar hazina ladha