Kinachonisikitisha Ni ukimya wa Mje, Rais hadi jambo linapohRibika Kwani Mje kwa nini? Hivi tunataka nini Tanzania kitokeee jamani hadi mnatutisha wananchi. Hizi Ni fedha za walipa kodi mnatupiga hadi virungu wakati wa kuchukua fedha za kodi na mnatulazimisha kutumia na mashine ili tulipe fedha...
Mimi naona Ni fahari kubwa na Ni kitu cha kujivunia kupekua cm ya mkw wangu na yeye yuko huru kuangalia yangu. Kwa nini ujifiche huko Ni kukosa uaminifu na mapendo kwa familiar yako
Alafu msidanganye watu nyinyi! Ukawa Ni wapotishaji. Huo Ni muungano wa kinafiki na haina Toka kwa watanzania msiwadanganye wangekuwa na nia nzuri na watanzania wasingetoka bungeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.