Tunapofanya kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere tunakumbuka juhudi zake za kuhamasisha na kuhimiza uadilifu. Uadilifu ambao ni kinga ya maovu yote, uadilifu ambao ni nguzo imara na msingi wa miiko ya viongozi. Hatuwezi kuwa na uongozi bora bila kuwa na viongozi waadilifu.
Chadema ni chama kinachojibebesha taswira ya uadilifu, chama kinachoomba ridhaa kwa watanzania ili kiweze kuaminiwa kukabidhiwa serikali lakini tangu juhudi hizo zisizo na mafanikio kuanza mihongo kadhaa iliyopita bado chadema hakijaweza kufikia lengo lake na kushimdwa huko kunatokana na aina ya viongozi ambao chama hicho wanao.
Mwenyekiti wa chama ambae anapaswa kuwa dira na ndiye anayetakiwa kuset standard ya namna bora ya kufanikisha mipango ya chama anapokosa uadilifu chama hakiwezi kufanikiwa..
sina haja ya kueleza mengi, picha imebeba ujumbe kamili..hakika chadema ni janga la kitaifa.