Majibu ya kukera unapochati na mpenzi wako

Majibu ya kukera unapochati na mpenzi wako

Mfyuuuu unaitkad za kishamba mtu akigegedwa ndio hana jipya lol acha izo mambo ndio shida yenu vijana.......kua na watu rika limeenda kweli kuna raha yake

Aisee..! Tumboo hata mie kanikera sana huyu! Mfyuuuu! Akili zingine ziko makalioni kweli
 
Message za 'nakupenda dia', 'nimekumis kpnz', 'unaendeleaje mpnz?' zinaboa.

Jaribu kuwa creative kwenye message zako.

Siku moja moja kama yeye ni mshabiki wa Chelsea mwulize umemsoma Mentor was JF akisema kuwa Drogba anarudi Chelsea.

Nakwambia atakuandikia insha ya kumsifu Drogba ambayo of course itakuboa kama siyo mpenzi wa soka.

Lakini lazima atakuwa anafikiria sana na anaweza kuuliza hivi huyo Mentor unamjua nje ya JF? Mnatumiana PM?

Hapo mtakuwa na very interesting chat na unaweza kuirefusha upendavyo.

Sometimes, you need to be "unpredictable" to your man. Atavutiwa nawe zaidi.

Na kama mpenzi wako ni member wa JF na anaisoma hii na-declare hapa kuwa sikujui na wala simjui Mentor.
 
Sio wote wana mahaba ya maandishi mwaya!
Mwingine yupo tu hivyo!
Usikariri
unaweza ukamwacha best man ever! Kisa tu hasemi i love you too!
Mwingine anakuona we booooonge la mwanamke ukimsalimia kwa kumpa rates za hisa TCC.lol
hebu msome huyo mtu umjue vizur

An Open Letter to the People who Overuse the words I Love You

Dear People Who Overuse the Words I Love You,

Just stop it already, okay. It's trite and insincere. People are pretty perceptive. We know when we are loved. When it is true, it is nice to hear and only has to be said sparingly because your actions speak so much louder than your words. But when it is not true is when you feel the need to say it the most.

Every phone call and email does not have to end with you telling me, "I love you." If you love me I know it. I feel it. You've shown me. If you don't love me I know it. I feel it. You've shown me that too. You, casually tossing the words about like a Frisbee only points to the camouflage of your insincerity. Just stop it, okay. You are not fooling anybody.

Author, Maya Angelo says, "When people tell you who they are, the first time, believe them." Love is considerate. Love will be inconvenienced. Love can show me much better than it can tell me. When I tell a funny joke, you don't have to end your laughter with a, "Girl, I love you!" Just say, "Girl you make me laugh."

When I give you a gift you really like because I've listened to you when you talk and I've heard you mention how much you'd like to have a so and so or a such and such, don't say, "Oh, I love you." Because that's not love, you idiot – That's just you getting something you've wanted. It's acceptable even preferred to just say, "Thank you. I really wanted one of these." Love is what it is. You can't buy it or make it out to be or out of something that it is not. I loveyou are valuable words I try not to throw around lightly.

Frankly, I don't love a lot of people. There are a lot of people I enjoy. There are a lot of people I find entertaining. And there are even more people I don't mind. But there are not a lot of people I love. If you have to wonder where you fall on this scale chances are I don't love you either.

The people I love know it. I've shown them in ways that supersede the three little words. And chances are it is reciprocal – I love them and I know they love me, regardless of how often or how seldom we find ourselves saying it back and forth.

So here are 10 suggestions for honest parting salutations to use instead of the overused I love you:

  1. Take care.
  2. See you next time.
  3. Nice talking to you.
  4. Good to see you.
  5. Say hello to your family.
  6. Drop dead you ass#ole.
  7. You know I never liked you.
  8. You need a breath mint.
  9. Why do you only call me when you want something?
  10. Bye.
Most sincerely yours,
Rougebuddha.

An Open Letter to the People who Overuse the words I Love You | Rougebuddha's Blog


 
mwanzoni mambo huwa matam sana lakini ikishafikia stages fulani things changes ts myt be for gud or bad u juz hold on....wanasema shida zikizidi neema hukaribia so juz assume hiko ni kipindi tu cha mpitoooo:cool2:
 
Sio wote wana mahaba ya maandishi mwaya!
Mwingine yupo tu hivyo!
Usikariri
unaweza ukamwacha best man ever! Kisa tu hasemi i love you too!
Mwingine anakuona we booooonge la mwanamke ukimsalimia kwa kumpa rates za hisa TCC.lol
hebu msome huyo mtu umjue vizur

Point nzuri.
 
Habarini wana mmu,hope mko vizuri.

Hivi inakuwaje pindi unamwambia au kumuandikia mpenzi wako sms unamwambia 'nakupenda dia' halafu anakujibu 'poa',unamwambia 'nimekumis kpnz' anajibu 'poa','unaendeleaje mpnz?'anajibu 'poa'.

Mi binafsi inaniuma na kunkera pia,please nisaidieni wakuu, ni nini kinakuwa kinaendelea?

tabia ya watoto wakike hiyo,ila nyie mkijibiwa hivyo inawauma kweli,unaomba voucher ukitumiwa unajibu "xanxs" ,"tantee" basi ,
 
n kwamba huwa tunaongea meng 2 cyo mapenzi tu isitoshe 2po mikoa tofaut,m npo mwanza ye yupo arusha.

Pole mamy,maswali yanakuwa mengi kuliko majibu.
Umeshawahi kumwambia unavyokerwa na majibu yake? Hapo anaweza akwambie kwa nini anajibu hivyo naye!
 
Habarini wana mmu,hope mko vizuri.

Hivi inakuwaje pindi unamwambia au kumuandikia mpenzi wako sms unamwambia 'nakupenda dia' halafu anakujibu 'poa',unamwambia 'nimekumis kpnz' anajibu 'poa','unaendeleaje mpnz?'anajibu 'poa'.

Mi binafsi inaniuma na kunkera pia,please nisaidieni wakuu, ni nini kinakuwa kinaendelea?

Ha ha haaaaa basi umejitutumua mwenyeweee jibu ndo hivyoooo! Unamtext bby leo mwenzio nimeamka nina homaa hapa am on z way naenda hosp. Anakujibu POUUUWAAA.
 
Mimi simu moja kwa siku inakutosha, sms 50 tu zinakutosha, sitakudanganya na mwanamke mwingine
 
atamaliza kijiji sasa.... ajiangalie mwenyewe kakosea wapi

Hata akimaliza mji shida iko wap mi kivyangu tokea nlivoachana na nliempenda nae alikua kama uyu mara cm apokei mara anakata vituko vitukooo haaaaaa bt now cna mda wakubembeleza mtu ukijickia pga cm ujicki tembea mbelee apa na miaka miwil cjawah mwambia mtu beb cjui dia mara honey nyooo honey mungu pekeake dunian apa, cjamuona wakumuita honey
 
An Open Letter to the People who Overuse the words I Love You

Dear People Who Overuse the Words I Love You,

Just stop it already, okay. It’s trite and insincere. People are pretty perceptive. We know when we are loved. When it is true, it is nice to hear and only has to be said sparingly because your actions speak so much louder than your words. But when it is not true is when you feel the need to say it the most.

Every phone call and email does not have to end with you telling me, “I love you.” If you love me I know it. I feel it. You’ve shown me. If you don’t love me I know it. I feel it. You’ve shown me that too. You, casually tossing the words about like a Frisbee only points to the camouflage of your insincerity. Just stop it, okay. You are not fooling anybody.

Author, Maya Angelo says, “When people tell you who they are, the first time, believe them.” Love is considerate. Love will be inconvenienced. Love can show me much better than it can tell me. When I tell a funny joke, you don’t have to end your laughter with a, “Girl, I love you!” Just say, “Girl you make me laugh.”

When I give you a gift you really like because I’ve listened to you when you talk and I’ve heard you mention how much you’d like to have a so and so or a such and such, don’t say, “Oh, I love you.” Because that’s not love, you idiot – That’s just you getting something you’ve wanted. It’s acceptable even preferred to just say, “Thank you. I really wanted one of these.” Love is what it is. You can’t buy it or make it out to be or out of something that it is not. I loveyou are valuable words I try not to throw around lightly.

Frankly, I don’t love a lot of people. There are a lot of people I enjoy. There are a lot of people I find entertaining. And there are even more people I don’t mind. But there are not a lot of people I love. If you have to wonder where you fall on this scale chances are I don’t love you either.

The people I love know it. I’ve shown them in ways that supersede the three little words. And chances are it is reciprocal – I love them and I know they love me, regardless of how often or how seldom we find ourselves saying it back and forth.

So here are 10 suggestions for honest parting salutations to use instead of the overused I love you:

  1. Take care.
  2. See you next time.
  3. Nice talking to you.
  4. Good to see you.
  5. Say hello to your family.
  6. Drop dead you ass#ole.
  7. You know I never liked you.
  8. You need a breath mint.
  9. Why do you only call me when you want something?
  10. Bye.
Most sincerely yours,
Rougebuddha.

An Open Letter to the People who Overuse the words I Love You | Rougebuddha's Blog



Hahaaaa.....naked truth...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hata akimaliza mji shida iko wap mi kivyangu tokea nlivoachana na nliempenda nae alikua kama uyu mara cm apokei mara anakata vituko vitukooo haaaaaa bt now cna mda wakubembeleza mtu ukijickia pga cm ujicki tembea mbelee apa na miaka miwil cjawah mwambia mtu beb cjui dia mara honey nyooo honey mungu pekeake dunian apa, cjamuona wakumuita honey

Weraa..! Weraaa...! Tumboo! Honey..honey..honey..my foot! Unalionesha upendo linaona umelipapatikia..! Ni kuyaacha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom