Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya mbagara, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo k iongozi tunasindikiza wenye maisha yao, akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumilzia matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache hayo mim mwenzako...