Kuweni makini na wadada wa kazi, wengine wanaua watoto ili wawe huru

mnzagila

Member
Nov 28, 2013
69
40
KUNA HUU UJUMBE NIMEUPATA MAHALI NIKASEMA SIO MBAYA NIKASHARE NA NYIE MARAFIKI:

Kuna clip nilitumiwaga long kitambo niliifuta kuna mmama anamsichana wa kazi huyo boss ameshazaa watoto 3 kila wakifikisha miezi 2 wanafariki so akawa hana mtoto tu akakata tamaa ya kuzaa tena ila mdada wa kazi ni mchapakazi kweli na ana adabu zote.

Sasa huyu msichana wa kazi akapata shost jirani yao na yeye ni mfanyakazi wa ndani siku moja huyo msichana katumwa sokoni Manzese wao wanakaa Mbezi ya Kimara, akamuomba yule msichana wa jirani amsindikize, wakiwa kituoni yule msichana mwenye Boss aliyefiwa na watoto akamuuliza mwenzie kuwa haoni shida kufanya mikazi yote na kufua nepi za mtoto na pia kulea mtoto mchanga anakosa uhuru, yule mwenzie akamwambia napata shida ila sina jinsi ndio kazi, yule msichana akamwambia huoni mimi niko huru? Yule boss hatakaa awe na mtoto aishi.

Yule bek3 akamwambia ngoja nikufundishe ujanja nilifundishwaga na shangazi yangu nae zamani alikuwa bek 3 ila kwasasa ameolewa na ndiye aliyemleta kwa huyo Boss, basi akamwambia nyumba yenye mtoto inakuwa na kazi nyingi na huwezi kumuacha mtoto ukazurure so cha kufanya hakikisha ukiachiwa mtoto mdogo ukiwa kwenye siku zako, chukua ile damu uwe unamlambisha mpaka umalize siku zako, mtoto ataanza kudhoofika na hatimaye atakufa maana hiyo damu ni sumu huuwa taratibu.

Hivyo kila yule mama akijifungua ndio huwa ninavyowafanyiaga watoto wake mpaka wanakufa akipimwa mara Dr. aseme ni infection, mara Nimonia kumbe ni ile period, akamwambia hata wewe nakushauri ufanye hivyo yule mtoto unayemlea afe uenjoy na pia Boss kama anamdomo pia unamuwekea kwenye msosi nae atakufa utaolewa na huyo baba.

Yule msichana anasema shangazi yake alishafanya kazi nyumba tofauti tofauti na hata huyo mume aliyemuoa huyo shangazi yake alimuua Boss wake then mume akamsogeza na kumfanya mke.

Kumbe wakati wanahadithiana kulikuwa na mama pembeni anawasikia, alivyosikia maneno ya hao bek 3 roho ikamuuma akawafuatilia wale wasichana mpaka sokoni na kurudi nao mpaka home bila wale wasichana kujua kinachoendelea, kesho yake yule mama akarudi na yuleyule bek 3 ndio alimkaribisha bila kumjua.

Basi alivyoitiwa mwenye nyumba akamuomba waongee privately na akamhadithia yale maneno yote aliyoyasema bek 3 wake na akasema yalimuuma ndio maana aliamua kuwafuatilia na kuja kumueleza, basi walichofanya yule Boss hakumuamini yule mama kwani alidai msichana wake ni mcha Mungu anaheshima na ni mfanyakazi vizuri sio mvivu.

Kutaka ukweli ujulikane yule mama alimshauri yule Boss aende akaripoti polisi ili yule msichana akamatwe na polisi wamhoji wasikie kama atakataa basi, kweli yule Boss alijikaza kwenda polisi kwani alikuwa anampenda huyo dada kweli na baada ya polisi kumkamata na kumhoji kwa kibano haswa kweli yule msichana alikiri kuwa ni kweli na wakamkamata na yule shost wake aliyefundishwa miujanja nae akabanwa akakubali na kueleza kila kitu alichofundishwa na shost wake. Boss alizimia wakati msichana wake anakiri kuwa amemuulia watoto 3 na watoto wote walikuwa wakifa kwa dalili hizo hizo.

Tuwe katika maombi jamani kuna mengi yanatendeka!
 
Yan Uyo Bek3 Angekutana na Mie Ninge uwa Afu ningemzika kimya kimya

Ktk Garden Yangu ili Bustan inawili vzr kutokana na Mbolea yake
 
Naskia Baridi asee... Mungu atunusuru
 
Back
Top Bottom