Washamba utawajua tu sasa karne hii watu mnajisifia kubeba tani za mahindi sasa punda abebe nini .......sana sana hapo naona dalili za umaskini wa nyenzo na akili pia.Mmmh unawasema wanawake wa dsm wakat wanaume wenyew hawawezi.

Wa Dar wanajua take away za sousage na Chips tu....Mahindi wayajulie wapiLa mahindi hilo, huoni hapo chini vimahindi vilivyoanguka anguka
Duh! Kinyaa hiki.
hatari sanaDuh! Kinyaa hiki.
Wanafanana na Dada zaowanaume wa dar...kazi zao kunywa maji tu eti wawe weupe!
Hii ndio kazi ya wanaume wa dar?
pamoja na wanawake zaoHii ndio kazi ya wanaume wa dar?
Mmewananga aise
Wandengeleko wamezoea kubeba ngoma mkuu.Huyu ni kijana wa dar buguluni sokoni tena ni mndengeleko
ha ha ha ha aiss unatafuta ugomvi mi simo!Wanafanana na Dada zao