Recent content by Mnyonywaji

  1. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu MultiChoice Tanzania

    Na mimi yamenikuta ya hawa DSTv (Multichoice), nimelipa tokea jana mchana lakini mpaka leo mchana huu hawajaniwashia niweze kuangalia. Simu yenyewe napiga tokea hiyo jana lakini zote hazipokelewi. Hii ni customer service ya aina gani? Huduma zimeoza kabisa, hapa wakija wengine natoa kabisa na...
  2. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Mauaji Chuoni Muhimbili

    Domo Zege, no wonder umechagua hili jina, usiwe na hasira lakini maana taarifa zaidi utazipata tuu humu humu, mimi nina uhakika na taarifa hii sema nimekosa taarifa zaidi kwa haraka kutokana na namna nilivyozipata.
  3. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Mauaji Chuoni Muhimbili

    Wana Jamii, Nimepata taarifa kwamba kuna mwanafunzi ameuawa pale Chuo Muhimbili. Mwenye taarifa kamili au aliyepo karibu na maeneo hayo atujuze tafadhali.
  4. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania World Economic Forum yaja - wadaresalama mtapita wapi?

    Zitafungwa kwa muda gani? Maana hiyo inaweza leta balaa jijini Dar.
  5. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Low price for new projectors

    Low Price ndio TSH ngapi? Au wauza kwa USD?
  6. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania CCM pawaka moto Dodoma

    Naona sasa unaifanya JF kama sehemu ya majaribio. Weka data zinazoeleweka, sio kusema tuu CCM ndiyo mwisho. Sasa hapo ndio unamaanisha nini? Audio recordings zenu ziko wapi? Hapa naona hamna ukweli wowote...Pasco jitoe kuwatetea hawa jamaa. Kuna harufu ya kutumwa kupima wana JF na kuwapoteza...
  7. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania CCM pawaka moto Dodoma

    No wonder wewe ni FIELD MARSHALL
  8. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania International friendly: Tanzania (Taifa Stars) vs Ivory Coast (Les Éléphants)-Updates

    Mechi inaanza 1930hrs EAT yaani saa moja na nusu usiku kwa masaa ya Tanzania. Na ticket za mechi hiyo zimeandikwa muda huo.
  9. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Mzee Kawawa afariki dunia!

    R.I.P. Simba wa Vita
  10. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Unataka kuagiza gari??... pitia hapa kwanza

    To: All our esteemed customer in Tanzania Dear Sir, and Madam, Hello, good day to you. How have you been ??? Hope you and yoru all family are fine. This is Toru Ogawa, Autorec Enterprise, LTD. Japan. We really appreciate your support to us and Autorec Enterprise Ltd. Japan. At...
  11. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

    Nasikia ZOMBE nae kaachiwa.
  12. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Barclays Bank Vacancies

    Barclays wanafungua Branch kule Tabora. Hizo nafasi zote walizotangaza ni za kwenye Branch hiyo ya Tabora. Kwa hiyo sio ajabu kwa wao kutangaza kazi licha ya kwamba wamewapunguza wengi hivi karibuni.
  13. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Mr. M. R. J. Sabodo atoa tahadhari

    Wanajamii, Leo kwenye gazeti la Daily News, ukurasa wa mbele Mr. M. R. J. SABODO ameweka ujumbe kwa wa Tanzania kuwatahadharisha kuhusu Nephew wake, ujumbe wenyewe ni kama hivi: AUNALI AKBARALI KASSAM (A nephew to M. R. J. SABODO) If he (AUNALI AKBARALI KASSAM) takes any money from...
  14. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal watamaliza katika Fourth position msimu huu. Aston Villa wameshaanza kuharibu, safari yao ya kuanza kuachia nafasi ya nne ilianza tokea wapigwe na Chelsea.
  15. Mnyonywaji

    JamiiForums Tanzania Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

    Mapigo ya moyo yanaanza kuongezeka tena kama jana, hili swala la kesi kufanyika kwa siri linakuwaje? Mbona wengine wote wamewekwa hadharani? Ni nini kinafichwa hapa? Kama hili swala ni kweli kabisa basi nimeshaona dalili zote za kipigwa changa la macho. Wananchi tuna haki zote za kujua makosa...
Back
Top Bottom