Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mr. M. R. J. Sabodo atoa tahadhari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mnyonywaji, Mar 6, 2009.

 1. Mnyonywaji

  Mnyonywaji Member

  #1
  Mar 6, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii,

  Leo kwenye gazeti la Daily News, ukurasa wa mbele Mr. M. R. J. SABODO ameweka ujumbe kwa wa Tanzania kuwatahadharisha kuhusu Nephew wake, ujumbe wenyewe ni kama hivi:


  AUNALI AKBARALI KASSAM
  (A nephew to M. R. J. SABODO)

  If he (AUNALI AKBARALI KASSAM) takes any money from anybody, I should not be held responsible for his debt. He has recently acquired the ‘A TEA SHOP’ along corner of Morogoro Rd / Jamhuri Street and he has got a spare parts shop known as URAFIKI AGENCY SHOP.

  NB: I have got very bad experience with him regarding unpaid cheques.

  M. R. J. SABODO


  Kaeni chonjo.
   
 2. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 20,938
  Likes Received: 7,241
  Trophy Points: 280
  Mzee Sabodo alifanya makosa ya kuitangaza will yake magazetini huku akimrithisha huyo niece wake mamilioni. Hata kama hajafa, niece anajiuliza jee ni mpaka uncle afe ndipo aanze kuishi kimilionea?. Kijana kaamua huna haja kusubiri bali kaanza kutumbua na kutanua huku bili zikienda kwa uncle ikiwa ni sehemu halali ya urithi wake.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,344
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mzee huyu huwa analipia kurasa nzima kuandika maoni yake sijui ni pesa iliyokosa matumizi au mbwembwe za matumizi..i mean kitu kama hii angeweza kudeal na ndugu yake tu wakamalizana hata hao wanaokwenda kumdai yeye badala ya huyo mkoi wake wanajua si sawa na hakuna ground za kisheria. Kwa issue ya gazeti la leo wanasheria jipangeni mkaongee na Unali Akbalali kassam mnaweza kula hela za Sabodo kwa defamation.
   
 4. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 2,600
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi nina maoni tofauti.

  Huyu mzee alichokifanya ndicho wastaarabu wenye uelewa wanavyofanya. Huyo kijana ndiyo hopeless kabisa. Sobodo anaweza hata akaamua ku-revoke hiyo will.

  Tatizo letu wengi kinachotushinda ni kuwa wa wazi (transparent). Mzee anaweka kila kitu hadharani watu waelewe kusudi kesho na kesho kutwa yasikukute.

  Hatujazoea kuwa wa wazi.
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,790
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  ...Mkuu Masanja, Nakusalimia. Uwazi wa Will ya mtu sawa, lakini gazetini mkuu na mtu bado yupo hai???? Si angeweza kumalizana na Wakili wake tu halafu siku yakimkuta ya kumkuta ndipo Wakili anaitoa?? Gazetini???
   
 6. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,432
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  What you said is one of the approaches, but there are number of options including the one he took.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,442
  Trophy Points: 280
  Huyu Sobodo nae tumemchoka sasa...apumzike tu ana bore
   
 8. Rainbow

  Rainbow Member

  #8
  Mar 7, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani hii ingelikuwa ya busara zaidi ...:

  If anyone takes any money from anybody else without my prior notice, I should not be held responsible for his/her debt.

  ... kuliko kumtaja mtu kwa jina.
   
 9. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,432
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hiyo version yako is not specific, inaweza kumzuia hata mkewe kufanya transaction halali, mbali ya wafanyakazi wake.
  Alichofanya ni sawasawa kabisa kwahiyo kila anayehusika inabidi achukue tahadhari kwa huyo mtajwa.
  After all hela za huyu Mzee watu wanazitafuna sana na nyingine hata hajui.
   
 10. Rainbow

  Rainbow Member

  #10
  Mar 7, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaweza akaweka exceptions, eg, save my wife, ....
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,604
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha haaa hapo awali alishawahi kuweka will yake katika Daily news... kuwa wake zake wawili alishaachana nao (alishawa-divorce) kwa mujibu wa sharia... kwa hiyo nadhani haishi na mke huyu... Ha ha ha haaa(NAKIRI NAMPENDA SANA BW.SABODO):)
   
 12. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,846
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Tusker Bariiiidi,

  Ina maana sasa anaishi kama bachela?

  Je ni nani anayemliwaza?
   
Loading...