Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

mlioko dar ingieni street jamani, hii hali ni mbaya, wanyonge tutakwisha
 
So sad. Kazi ya JK kuunda tume, kazi yote ya kutafuta ushahidi and all that imeishia hewani. And the ruling in other words is, ni kosa la marehemu walipigwa risasi na kuporwa kwa uzembe wao.
 
Naamini kulikuwa na mapungufu upande wa mashtaka otherwise Masati huwa ni very strict and systematic judge. AG anatakiwa akate rufaa au wadakwe wafunguliwe mashtaka upya.
 
Haki hupatikana mahakamani!!!!
Zombe kapata haki kulingana na sheria na ushahidi dhidi ya mashitaka juu yake.
 
Natamani kuubwa uraia wa danganyika
Watanzania bana, sasa mnadhani wapi haki itapatikana?

Dah, Mahakama Kuu haiwezi kufanya kosa, mashtaka yalikuwa dhaifu na mtuhumiwa sasa anarajea mtaani kukabiliana na vyombo vya habari vilivyomchafua jina... Kaazi kwelikweli
 
Mramba, Yona waachiwa huru, Chenge Huru na Dr Idrisa huru haki iko mahakamani kwishnei
 
gari la pilipili wakuu lipo standby hapa incase of vurugu!
MATOKEO YALIPANGWA NAAMINI HIVYO
 
Back
Top Bottom