Kwl kuna watu ni wagum kuelewa na ni hawa wakiingia mjengoni kwa khanga na kofia hubaki kushangilia kila kitu. Ni kipi hakieleweki hapa juu ya serikal mbl au tatu? Kwa mwenye hekima atafikiria, je, tumepata uhuru lini? Na je tulipata nafuu kupitia serikali mbili? Sasa unafuu utatoka wap sasa kwa...
Kuna mpotoshaji mwingine hapa eti kaandika habar ya fimbo ya nyerere n malechela, kibaya zaidi kanukuu hadi mazungumzo, uongo na upotoshaji, watu kama hawa wahamie fb au whatsap tu. Way
Siku jesh likiingia ikulu ndo utajua maana ya ulichoandika. Wewe umeona hayo ni mazito kwa jesh kuingilia basi ujue hayo ni mepes sana. Na usiombe ifike huo wkat
Kuna kijana kaandika uwongo, tena analaghai wa tz, kaka acha uwongo na ukirudia ntakutaja. Nyerere hakuwai kuitawala tz kwa miongozo ya vatikan, na kama angefanya hivo basi angehalalisha udini hapa nchini na kumbuka alikuwa charismatic leader hii inamaanisha wengi wangemwamini na tusingekuwa na...
We all tok abt wht we thnk we deserv not wht we hav. Perfectn is a word that cand b perfct, its an illusion as it is a mere conspiracy theory. Kila mtu, mwanaume au mwanamke ukimuuliza ni mpenzi wa namna gani ambaye angependa ampate ili aridhke utashangaa majibu yao, weng watakupa sifa ambazo...
Lisu amejenga hoja ambayo hata mimi siwezi kuupinga, ila ukweli utabaki palepale, kila mwanasiasa ni muuaji, muongo, mnafiki, fedhuli na mbinafsi. Utofauti ni kuwa inategemea vyote hivo anavifanya kwa maslahi ya nani. Leo hii huwezi kumtukana hitler ukiwa ujerumani kwani to them he was a...
Eti avue pale tu akishaolewa, hahahahahaha, nani huyo? These rules were VALID in 15 th century bt nw they are VOID. Hta wanawake wanaojielewa hawez kukubal kuolewa na mwanaume bile kupima kina cha maji
Usijali kijana uko salama, we kapime tu uwe na uhakika koz naelewa style ya mapenzi kwa mtu kama wewe, huwa ni yale ya kuku, just seconds. So be happy ila as long as umejitambimua sasa UKOME NA UKOMAE.
Skillionare. Asante sana kwa kunikumbusha ishu ya Attraction. Siamini kuwa kuna mwanaume anayemuogopa mwanamke eti kwasababu ana mali. Kitu cha kwanza ambacho huwa kinatukwaza ni kugundua kuwa mali alizonazo mwanamke ni za mwanaume mwingine. Hnestly hapo mambo hayaend, hata kama utampendaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.