Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Watu mna moyo,unanyonya pua kabisaaa!duh!
Si afadhali pua kuliko M........... ptuuuuuuuuu
Watu mna moyo,unanyonya pua kabisaaa!duh!
Uwe mrefu zaidi yake.Mimi huwa wananipa shida sana wakati wa kukiss. Najikutaga nimeishia kunyonya pua tu.
Ndio kina nani hao!!?
Wanazi wa Rais Paul Kagame wa Rwanda wanapatikana jukwaa la siasa na jukwaa la kimataifa.
Heeee wanamsifiaaa Kagameee auu!!
Wao hata Kagame akinya,wanasifia mavi yake.Team Kagame
Mimi huwa wananipa shida sana wakati wa kukiss. Najikutaga nimeishia kunyonya pua tu.
ha ha ha ha utakuwa ujui style za kukiss wewe do maana unanyonya pua
aahahahaaaa.... Yaani mie huku hoi kwa kucheka! Denda kwa mrija?du.! Huyu kula denda labda ule na mrija.
SIjacheka wiki hii kama hii sred, benteke ubarikiwe. Wewe ni genious wa aina yake.
Mmmh! Hii ni balaa.
aahahahaaaa.... Yaani mie huku hoi kwa kucheka! Denda kwa mrija?
njagu lako halikuchekeshagi?