Zima Moto Updates

Zima Moto Updates

Nimepigwa chini, hali tete

Vuta subira mkuu coz kazi ni nyingi sana mwaka huu. Kumbuka kufuata gamba lako la seven huko liliko then ukae mkao wa kula.
 
KISHINDO, hebu nijuze vizuri, hayo majina yaliotoka ni ya level ipi kati ya Mkaguzi msaidizi, Sargent, au Coplo?
 
KISHINDO, hebu nijuze vizuri, hayo majina yaliotoka ni ya level ipi kati ya Mkaguzi msaidizi, Sargent, au Coplo?

Siyo lazima akujuze Kishindo, majina yaliyo toka zimamoto ni ya Mkaguzi msaidizi tu,kumbuka hizi nafasi maombi yalitumwa kwa Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani na kwa ngazi ya Sergeant &Constable ambayo hayaja toka bado yalitumwa kwa Kamishna Jenerali.
 
ila nashindwa kuwaelewa jamaa wa zimamoto
wana website kwa updates zao wasitoe huko!!!!!!!!!!!!!!!
 
thanx 4 yo info bt mbona majina ya p hujatupia? pliz nisaidie n usail lin? n na ni wap?
 
Ni kweli wametoa Habari leo la leo,na sehemu ya usaili ni magereza Ukonga
 
Siyo lazima akujuze Kishindo, majina yaliyo toka zimamoto ni ya Mkaguzi msaidizi tu,kumbuka hizi nafasi maombi yalitumwa kwa Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani na kwa ngazi ya Sergeant &Constable ambayo hayaja toka bado yalitumwa kwa Kamishna Jenerali.

mkuu konstble hayajawa hewan au?
 
Atayelipata gazeti la jana habari atuwekee majina wadau
 
Back
Top Bottom