Recent content by mms

  1. M

    Naomba kujua lengo la kuanzishwa inspirations talks, motivations etc

    Ukitembea na walioshindwa 9 basi ujue namba 10 utakuwa ww. Acha wenzako tushibe maarifa ya akina less brown, paul sineck, Dr myles Monroe, dale carnigie, Robert kiyosaki, the late Jim rohn, zig zigral, denzel Washington, Arnold Shwarzinegal, depak Chopra, Ali daniel, Eric Thomas, Anthony...
  2. M

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    "Study hard my son/doughter you will get a good job which will pay you a higher salary and you will get a huge pension when you will retire." Hizo ndo matunda ya juhudi za misonge at the end when you will retire you will end up a looser. Think twice
  3. M

    ACACIA's CEO, Brad Gordon: Tanzania nayo itaumia isiposuluhisha mgogoro wa madini wiki inayokuja

    Me kuna swali gumu halafu rahisi vilevile hivi kama ule mchanga kama ungekuwa na kiasi kidogo cha dhahabu kama wanavyodai wao acacia. Hizo mil$ za hasara zinatoka wapi na huko kuporomoka haraka kwa hisa kunatoka wapi kama kweli viwango vya madini vingekuwa vidogo kwenye hayo makontena? Report...
  4. M

    Msikilize JB akizungumzia Mgomo wao

    Good intetion but wrong step sasa hapo si ungeongea na watunga sera wapunguze milolongo ya sheria ulimwengu tunaoishi ni 4g hivyo kuzuia akina chakori wasiuze au kutazamwa mtachelewa sana kwani bongo flavour wametoboa vp. Kawaulizeni akina king kiba, wcb na wengine wawaambie walitokaje halafu jb...
  5. M

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    Big up robert kiyosaki mwandishi wa rich dady, poor dady elimu bila pesa ni sawa na engine bila oil. Ogopa sana kuongozwa na mawazo yake na baba yake na robert kiyosaki utakuwa maskini maisha yako yote. Hivi wanaoongoza uchumi wa dunia hebu chukua ile top 10 ta forbes halafu njoo kwenye dhana...
  6. M

    Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

    Hivi bado hujaanza kuhama tu. Jahazi la democratic part limezamishwa na an individual trump
  7. M

    Yuko wapi kinara huyu Seitundu Kamanda nguvu ya nyani

    Chuo cha mfunzo ya jeshi la magereza Kiwira kulikuwepo na Mkufunzi mmoja matata na mkakamavu kwelikweli alikuwa akifahamika kwa jina lake maarufu sana la SEITUNDU KAMANDA NGUVU YA NYANI. Huyu jamaa alikuwa mtata kwelikweli mwenye taarifa za huyu kinara aje atiririke.
  8. M

    Yu Wapi Askari Mkama Sharp?

    Interesting story police wa leo mtakumbukwa kwa lipi? Hata jeshi la magereza alikuwepo mmoja mfia jeshi huyu alikuwa mkufunzi chuo cha magereza kiwira mwenye story zaidi za huyu jamaa aje atiririke. Alikuwa na maarufu kwa jina la SEITUNDU KAMANDA NGUVU YA NYANI.
  9. M

    Rais Magufuli: Nitahamishia Serikali yangu Dodoma - Waziri Mkuu aanzisha safari..

    Nimejiuliza sana leo katika siku hii adhimu ya mashujaa, nimejiuliza mengi sana, nimejiuliza kwa nini dodoma? Na kwa nini haikuwa miaka kadhaa iliyopita? Nimejiuliza weeeee nikataka kujijibu mwenyewe ni dodoma kwa sasa kwa sababu eti Dar es salaam haipo chini ya chama tawala na pia Baba wa...
  10. M

    Ng'ombe akikatika mkia hazuiwi kuingia zizini, ila...; Wale waliorudi wanajisikiaje?

    "Sisi wafugaji, ng'ombe akikatika mkia huwa hatumzuii kuingia zizini ila akiingia zizini ng'ombe wenzake humjua kuwa amekatika mkia". Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli. Dodoma mkutano mkuu wa ccm 23/7/2016.
  11. M

    Kampuni za Mabasi zinazoongoza kwa mwendo wa kistaarabu na kujali abiria...

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] umenikumbusha zamani sana Tabora aka mboka manyema miaka ya 1994
  12. M

    Ajali za mabasi: Ikishatokea moja, hufuata nyingine mfululizo, kisha hukoma, ni kwanini?

    Kama utakuwa ni mchunguzi wa ajari nyingi zinazohusisha mabasi mara nyingi ikianza kutokea moja basi zitafuatana nyingine kama 4 au tano baada ya hapo hukaa muda kama kuwasahaulisha watu baadae zinatokea tena mfurulizo. Najiuliza sana hii maana yake nini bado sijapata jibu.
  13. M

    BANK ZETU

    Leo asubuhi nilipokea ujumbe kutoka katika bank yangu kuwa gharama zimeongezeka kutokana na makato ya VAT nilijiuliza maswali mengi sana juu ya huu utaratibu wa VAT kwamba ile service charge ninayokatwa na bank mimi tena kama mteja niilipie VAT bank yeye sioni sehemu yeyote anapolipa kodi hiyo...
  14. M

    Falsafa ya ujamaa ilivyoathiri Tanzania kwa umasikini uliotukuka

    Nchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Ila wanaokuongoza ndo wanakufanya nishindwe kukuelewa. Maana sijui hata umesimamia nini na unaamini katika nini. Mwanzo ulikuwa mjamaa. Hapa katikati ukawa hueleweki ni mjamaa au mbepari. Mwishoni mwa awamu ya nne ukaonekana kama mbebari bepari...
  15. M

    Barua ya wazi kwa rafiki wa rafiki yangu

    Yote yanawezekana
Back
Top Bottom