Kama utakuwa ni mchunguzi wa ajari nyingi zinazohusisha mabasi mara nyingi ikianza kutokea moja basi zitafuatana nyingine kama 4 au tano baada ya hapo hukaa muda kama kuwasahaulisha watu baadae zinatokea tena mfurulizo. Najiuliza sana hii maana yake nini bado sijapata jibu.