BANK ZETU

mms

Member
Oct 4, 2011
22
7
Leo asubuhi nilipokea ujumbe kutoka katika bank yangu kuwa gharama zimeongezeka kutokana na makato ya VAT nilijiuliza maswali mengi sana juu ya huu utaratibu wa VAT kwamba ile service charge ninayokatwa na bank mimi tena kama mteja niilipie VAT bank yeye sioni sehemu yeyote anapolipa kodi hiyo walichofanya mabenk ni kuongeza gharama. Mfano mimi nilipokuwa natoa pesa nilikuwa nakatwa tshs 1000 ila leo nimekatwa tshs 1300. Sasa nimejiuliza kama VAT bank wanayotakiwa kulipa ni tsh 153 sasa hii 300 miliyoongeza ni ya nini? Huu ni wizi wa waziwazi. Nawashukuru TRA kwa kuwaumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom