Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

a440b924e165e3f83ab345c17f58929f.jpg


jiandae kuama
 
Naona wachambuzi wa habari za kimataifa mnaendelea kushangazwa!!
haaaaaaaa. Wamepigwa Rungu la Utosi Mkuu, wamarekani hawataki Siasa za Maji taka, na hadithi hadithi wanahitaji mtu wa vitendo.
 
Yule aliyesema Hillary akishindwa anaondoka Tanzania mmeshampa nauli jamani manake safari yake imekwiva. Ajiandae kupaki tu mabegi yake manake Trump is trumping all the way to the White House.
 
We jiandae2 kuama maana kwa muelekeo huu Clinton kushinda ni ndoto mpaka sasa ana 215 mwenzake ana 254 unategemea atapindua makeo kwel! Sjui unahamia wap mwenzetu.
 
Hivi bado hujaanza kuhama tu. Jahazi la democratic part limezamishwa na an individual trump
 
Mi niachie mkeo, ila watoto wako hama nao
 
Weken maswala ya jenda balance pemben linapokuja swala la msingi kama hili!! Nataman trump apite aje anyooshwe hawa uchwara huku
 
Picha ya avatar yako huyo wa kulia amekuponza, ni mtu wa kukatwa katwa!
 
Back
Top Bottom