Hiyo receipt uki angalia hapo mwisho kushoto kwenye tarehe inaonekana nimwaka 2012 ndo imesainiwa? Mtoa maada acha kutudanganya kama wote watoto wadogo
Hawa mpower hawaifikii kampuni ya mobisol tembelea www.plugintheworld.com, jamaa wako vizuri mitambo yao inadumu kwa mda mrefu sana. Pia wanatoa huduma after sales, mantanence services na gurantee ni miaka mitatu na ukilipa kwa miaka mitatu mtambo unakua wako. Namba zao ni 0768-984700
Yaleyale anasemaga mbunge Msigwa kwamba maprofesa wa ccm wakichangia hawana tofauti na mtoto wa darasa la pili, sasa kapuya kajitetea nini hapo. Shame on him
Jamani ningependa kumwuliza swali moja tu ndugu yangu Nape Nnauye, 2015 Mh Edward Ngoyai Lowassa atakavyokuwa Rais wa Tanganyika bwana Nape ataficha wapi sura na mwili wake? hii ni kutoka na matusi ambayo amekuwa akimtukana mara Lowasa ni gamba mara ni fisidi n.k. nisaidieni jamani.
u ar wrong my friend, kama umeangalia Nape kaongea nini cha maana? kwani mimi nimefuatilia tangu mjadala wa awamu ya kwanza, kiukweli nape kafunikwa mbaya,
10 REASONS YOURE NOT RICH YET
As a financial advisor, I have spent many years helping other people overcome financial stumbling blocks so they can become rich. Ironically, the one person I have had the most trouble helping is myself. Being rich can mean different things to different...
ukweli ni kwamba MZEE WA KAYA ndie aliyewafunga na ndio maana kila siku wanamuomba yeye awaachie. walitembea na salma kikwete enzi hizo kwahiyo analipiza kisasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.