Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

nafasi ya uenyekiti na ukatibu sijasikia taratibu zake zikitangazwa
 
Mbona wewe ni kapi pia?si alishindwa kura za maoni CCM ndo akakimbilia CHADEMA?Huyu Slaa vipi?

Nani kakuambia CCM kuna kura za maoni? Kule kuna makundi. Ili upite ni lazima uwe kwenye kundi la Mwenyekiti wa CCM taifa au swahiba yake na si vinginevyo. Kama si mwanakikundi ni lazima uwe tajiri, uwanunue wajumbe ili wakupitishe na watakupitisha kweli.
 
Safi sanaaa! Tena sifa ya mtu kuwa mbunge wa cdm aanze na bachelor, udiwani awe na diploma.

Wacha kabisa wewe. Si kumchagua mbunge mzigo ambaye akifika bungeni hachangii hoja.

Dr slaa na jopo lake ni viona mbali. Kuna wakati niliandika thread ya sifa za mtu kuingia bungeni na ziliungwa mkono kwa 100%.
 
Mbeya nipeni kura zenu ninaimani huo mtihani nitapita tuuuuu maana mpinzani wangu aliyepo yeye ni mtaalamu wa mistari tu hivyo ninauhakika nitamgalagaza mbaaaya labda aamue kutoshiriki kwenye huo mtihani wa Advanced MP Examination vinginevyo nitaanza kumgalagaza kwenye Ordinary MP Examination
 
Safi sanaaa! Tena sifa ya mtu kuwa mbunge wa cdm aanze na bachelor, udiwani awe na diploma.

Wacha kabisa wewe. Si kumchagua mbunge mzigo ambaye akifika bungeni hachangii hoja.

Dr slaa na jopo lake ni viona mbali. Kuna wakati niliandika thread ya sifa za mtu kuingia bungeni na ziliungwa mkono kwa 100%.

Kwahiyo una maana akina Sugu,Msigwa,Mbowe mwenyewe,nk watakuwa-disqualified kabla hata ya kuingia chumba cha mtihani tena following your logic?
 
Tafadhali ndugu examiners msiwe biased (Nyie mtakaosahihisha mitihani yetu) msilete upendeleo sahihisheni vizuri ama kama vipi tumieni namba badala ya majina ili watu tufaulu hapa tuingie jimboni kiulainiiiiiiiiiiiii.

Babu oyeeeeeee
 
Du am thinking about it....what an innovative idea. The criterion for selection and who does the selection is the main difference otherwise it will be business as usual. It is an open secret that Zitto was the threat to the chairman in any election at any time because he was financed to contest. Which means as it is in CCM money is the the thing in parties elections. So the functionality of this system will open a new era in this countries political elections.
 
Politics is a very dirty game and people who are involved in politics are very smart they know how to read people's psychology & since most Politicians are good at playing with people's minds they can successfully turn a lie into a truth and we can believe it.In Zitto's case i believe Zitto is used as a TROJAN HORSE here just to divert attention from the real CULPRITS.Mbowe & the likes are partly applying MARCHAVELIAN approach to their leadership style by hiding the truth away through silencing the critical minds!!
 
Dr.W.Slaa naomba utwambie nani atasahisha hiyo mitihani?maana hatutegemei wewe mwenyewe ndio msahishaji wa mtihani.

Nani atasimamia hiyo mitihani?

Umejiandaa vipi kukabiliana na watakao chora mazombi kwenye mitihani?

Umejiandaaje kukabiliana na watakao ingia kwenye mitihani wametumia vilevi na mihadarati kama gongo na bangi?

Mmejiandaa vipi kukabiliana na wizi wa hiyo mitihani?bila shaka unajua vijana wako hawashindwi kuiba?

Umejiandaa vipi kukabiliana na uvujaji wa hiyo mitihani maana pale makao makuu ndio maarufu kwa kuvujisha siri za chama.
Dr.W.Slaa ina maana hata wenye viti wa mikoa na wilaya wa chama watafanya mitihani?

Katika hili naomba uandae video camera ili kuweza kuwabaini watakao kuwa wanapiga chabo kwenye chumba cha mtihani na adhabu yao ni kuwaanika hadharani.

Kamanda Rose Mayemba chukua fomu umuondoe sugu.

Kamanda Yericko Nyerere chukua fomu upige paper.

Kuna wabunge watajitoa mapema kabisa

mh Dr.W.Slaa na wabunge viti maalum hawatofanya mitihani?

Hahahahaha sipati picha dr slaa anatangaza matoke alaf anatuonesha karatasi jinsi watu walivyo chora mazombi.

Cc
Ritz, CHAMVIGA, mwekundu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom