Pata DSTV Full Package kwa 200,000/= Kwa mwaka

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,802
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.
 
Mkuu fafanua kinahitajika nini na nini kupata hiyo huduma.!
 
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.

Laki 2 inahusisha equipments & installation?
Fafanua plz!
 
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.

nipo dar nakupataje? call me
0778-833211
 
....kila jambo linawezekana hapa TZ! ukiongea vizuri UMEME unapata bei powa/ simu/ maji ....disel.petrol/ TZ ni net work tuuuuuuuuuu....copy right (TZ = 10%)
 
Weka namba zako za mawasiliano Mkuu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.

Mkuu ebu weka wazi hii huduma ni kupitia dirisha dogo au mlango wa mbele? Alafu naomba utueleze inakuaje hadi mtu anapata subscription ya mwaka mmoja yaani unafanya fanya vipi hadi inakua hivyo lakini pia weka wazi security ya mteja baada ya malipo.
 
teh bteh teh naona jamaa kacheza na akili za watu hapa hasa wapenda ubwete?
fikiri kabla ya kutenda bana hiii kwangu ni ngum kumeza kabisaaaaaaaa
 
Hahahah kweli Bongo tunapenda mteremko,,,kama unapenda kuangalia stations za DsTv kuanzia SuperSports 1 up to 7 na zile za movie tafuta Abu Dhabi Sports kwa mwaka mzma laki tatu tu. Ukiachana na Reveiver pamoja na installation
 
abudhabi hawana football kwa sasa mpaka miaka mitatu ijayo labda wanaweza kupata tena kwa sasa ni aljazeera sport kwa middle east ndo wanaoonyesha football, huduma pekee yenye kukuonye d*tv kwa ghalama nafuu na uhakika ni xmaster inakupa mwaka mzima buure kwa 270,000 tu huku ukiangalia channel zote buure full hd.
 
Jamaaa kapotea,watu tunataka kupata maelezo kwa kina
 
Back
Top Bottom