Recent content by Mlingi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Mkuu kama hutojali nitapataje hivyo vitabu????
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi Vs. Waziri Mkuu, nani mwenye mamlaka/mkubwa kwa mwenzie?

    Absolutely perfect...you nailed it
  3. M

    JamiiForums Tanzania Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Superb.....mimi mwenyewe nimeshaanza kuisoma na nimepanga mpaka 2020 niwe nimeielewa na kuimaliza na naamini Mungu ataniongoza katika hili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Do you know of a subject harder than Mathematics?

    Duuu....Physics ndio somo pekee lililowahi kunitoa jasho!!!mamaye
  5. M

    JamiiForums Tanzania JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

    mchunguzi hurukapotea sana
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biblia: Dawa thabiti ya mapenzi

    Absolutely perfect....cheers my man!!!
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri

    Perfect mkuu..mimi nimeamua kumuoa ndugu yangu kuepuka kero
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Pole sana dada....Niseme wazi wewe ni kati ya wadada ninaowakubali JF hasa ninaposoma comments zako kwenye forums mbalimbali na nimegundua you are so smart, intelligent, unajiamini , focused, decent and ol dat but changamoto kwa wanawake wa type yako kudumu kwenye relations ni nadra sana coz...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwema: Tunamsubiria au tunamtafuta

    wewe hapo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    We are weary of being without gold in the midst of plenty
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ni sura au tabia? Wewe upo upande upi hapa?

    Wanapatikana wapi hao mkuu????
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mkuu Sauli alikiri kulitesa kanisa la Kristo na akakubali kuokoka...Point ya Slaa ipo palepale kuwa Lowassa ajisafishe!!! Tatizo binadamu hawapendi kuambiwa ukweli..Dr Slaa kaongea ukweli mchungu ambao wanaukawa wengi hawataki kuukubali
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

    Mh Temba-amekoma, kiulaini, maneno
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pastor Munishi ni Mtanzania au Mkenya?

    Ni mtanzania anayeishi kenya bwana SAKALA
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    mwambie ukweli tu
Back
Top Bottom