miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Abeeeeee
Last edited by a moderator:
Abeeeeee
Abeeeeee
Mkuu Divine,kwa mujibu wa biblia na mafundisho mengi ya wasomi wazuri wa biblia,Mungu wetu humpa mtu kitu atakacho,sio yeye alichokipanga.
Kuna watu wengi sana,hasa mabinti ambao wapo desperate na ndoa huwa wanaenda mbele za Mungu wakiomba wapewe mume bora na Bwana Mungu,kitu ambacho si sahihi.
Jambo sahihi ambalo wanashindwa kuelewa ni kuwa Bwana Mungu wetu alikwisha sema tumkumbushe na tuhojiane naye. Sasa kuhojiana hapo ndipo watu wengi huwa wanashindwa kufanya,maana hapo sio tu kumwachia Mungu jukumu la kukupa mke au mume bora bila ya kutaja ubora unaoutaka wewe ni upi.Mfano mimi na mrefu na napenda mke wangu awe mrefu na mweusi,then nikamwambia Mungu naomba unipe mke bora bila ya kumwambia mke bora kwangu anakuwa 1,2,3...,sasa akiniletea binti mfupi mweupe,unategemea kweli tutadumu katika mahusiano yetu ya pre marriage kweli?Ndio maana huwa tunakutana na kupendana kwa kudanganyana mwisho wa siku tunaachana,ni kwa sababu ama hautujui tunataka nini ama tunajua tunataka na kupenda nini but hatuhojiani na Bwana Mungu juu ya hayo tupendayo na tutakayo.
KWA WENYE FIKRA PANA TU BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'. Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!! Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI.
Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA (Perpendicularly), vitu hivyo ni;
1.HELA
2.GOOD SEX
3.CARING MAN
4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua"Kusex" mwanamke anatosheka, na wana hela ila WAKO BUSY... Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amtafune kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa..."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES, Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni
LONELINESS....
A lonely Woman can easily betrapped by anyone.. hata House boy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako peke yako?Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....
Mpe MUDA..
Mpe HELA...
Mpe Kisago kitandani...
Mpe CARE na ATTENTION
Nimemaliza! Kazi kwenu

√ Stress generating machine
HAMKUZALIWA NAYE MMEKUTANA NAYE UKUBWANI TENA KWENYE UZINZI ILA ANAWEZA KUWAHARIBU NDUGU ZAKO WAZAZI WAKO NA MARAFIKI ZAKO MLIOKUWA NAO MLIOCHEZA NAO HATA MLIOKUWA NAO
KWELI WANAWAKE NI STRESS GENETATING MASHINE IF YOUR NOT STABLE
Vyote viende parallel @ Bujibuji.
Wenye masikio wamesikia, wenye vidude mfano wa masikio watabisha
mwanamke akiwa tatizo,mgeuze kiwanda cha watoto..asikupotezee muda wa kufanya mengine ya maana
Stil umuhimu wake unauona, ka vipi mwache kabisa hao watoto ukawamwage bafuni
Operation sugua gagaHaji bila kusugua got kwa Mungu tena kwa kumaanisha.