Pastor Munishi ni Mtanzania au Mkenya?

Pastor Munishi ni Mtanzania au Mkenya?

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
724
Ivi jaman huyu jamaa ni Mkenya au Mtz ,,kuna clip yake moja ivi amazing inaitwa kataa ccm tz ipone
 
Juzi hapa allibukia kwa Mchungaji Lusekelo, Mzee wa Upako. Alimsifu sana Mzee wa Upaka kwa kueneza injili isiyo na unafiki.
 
Ivi jaman huyu jamaa ni Mkenya au Mtz ,,kuna clip yake moja ivi amazing inaitwa kataa ccm tz ipone
ni kichaa mmoja mtz anaishi kenya. baada ya kukimbia njaa na kwenda kenya kupiga kinanda chake kenya akapata hela miaka ya 1980 ameloea huko anatukana tanzania eti ina njaa. ni mchg fulani anachukia sana ccm.
 
Ni mtanzania aliyekimbia kipind cha kuwatafuta wahujumu uchumi kipind cha sokoine.
 
Yule jamaa aliemba malebo? Au Pastor munisi ni nsni? Yule jamaa alikuwa jambazi sugu zamani halafu akaokoka. Yule jamaa alitoa cassette moja ya kumkashifu Mwalimu Nyerere baada ya Mwalimu kulazwa hospital I St Thomas.Nikampelekea nyuki yule jamaa. Halafu ndiyo nikasikia habari zake kwamba alikuwa jambazi zamani
 
Ni Mtanzania.Kwa ushuhuda wake mwenyewe alisema alikua mwizi na jambazi miaka ya nyuma ila akaokoka. Ameimba nyimbo za gospel Malebo part one na part two. Ni mrombo. Anaishi kenya. Mtoto wake mwaka jana au mwaka huu mwanzoni alikamatwa na ganja kenya. Anaichukia sana serikali ya ccm. Ingawa sijajua sababu hasa. Nyimbo na hotuba zake zipo pia youtube.
 
Ni mtz,kakimbilia kenya kwa usalama wake Baada ya kutishiwa uhai simply kwa kuikataa cccccccmmmmmmmmmm,..
😎😎😎😎 jamaa noma,
Tangu aimbe CCM imezeeka ikawa shida na kukimbilia Kenya Mwaka 2000. Tafuta You tube wimbo unaitwa MPENDE ADUI - Pastor Munishi
 
niliona clip yake moja alikuwa akimsema Mkapa na wakati huo alikuwa bado raisi
 
Back
Top Bottom