Mechanist
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 724
- 494
Nenda sua ukasome veterinary medicine, utaona huo udaktari wa binadamu ni rahisi.Madaktari wanaosoma masomo ya tiba za wanadamu especially wale wa upasuaji ni watu wanaosoma masomo magumu kuliko somo jingine lolote hapa duniani ila watu hawaelewi hilo kwa sababu masomo yao hayapo kwenye ngazi za huku chini ambako elimu yetu huwa inaanzia. Mimi naamini kabisa kuwa hakuna masomo magumu kama ya udaktari, hesabu wala siyo mojawapo ya masomo magumu