Recent content by Mlimbo48

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wengi ni kuwadhalilisha wanawake

    Na hao waliokuwa na mmoja bado wanauana kwa risasi, Sasa sijui ndiyo upendo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi na kuongoza baraza la Mawaziri 01 Oktoba 2026

    Hii siyo nchi ya kiislamu, Rais amechaguliwa na watanzania wote, Mwache awahudumie, Mambo ya kiislamu yapo mengi sana siyo eda tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

    Kwani wakati wa Magufuli kulikuwa na shida? Si tunaambiwa kwamba watu walikuwa na maisha mazuri haijapata kutokea? Na kwamba awamu hii ndiyo watanzania tunashida?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Hovyo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

    Na je baada ya Halmashauri Tuscan taarifa una uhakika zimeshatumwa utumishi makao makuu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

    Sawa, Kwa upande wa daraja ulishapanda? Kama ulipanda ni mwaka gani? Ili sasa tuangalie utaratibu wa arrears.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kujifunza kiingereza

    Wat du you sei!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Taifa yawahishwa 2026: Zima Moto wamekalia wa Chuya!

    Serikali makini lazima ijali watu wake, Hongera serikali kwa maamuzi ya busara, Hawa wanaokejeli leo ndiyo watakaochwka yakitokea madhara.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

    Magufuli alikuwa Mwanamke? Mbona mlimtukana?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sawa, Basi muelekeo mzuri.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hata makato bado hayajafanyika leo tr 22/9/2026.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

    Dini inatutaka kuoa na siyo kutongoza, Unaweza kutongoza kwa ajili ya kuzini,Hivyo ungeuliza kuhusu ndoa ningekuwa na majibu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

    Kabla ya kukupa jibu naomba nikuulize swali, Ingekuwa mfiwa ni mama yako naungeulizwa swali hilo ungejibu nini? Swali la pili ingekuwa mfiwa ni Dada yako halafu mtu anakuuliza Dada yako akimaliza eda naruhusiwa kumtongoza? Ungejibu nini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania SGR Station Dodoma hewa nzito

    Kila eneo lina kiongozi, Uliza kiongozi wa eneo hili mfikishie hizo taarifa, Mambo mengine ni kukumbushana tu.
Back
Top Bottom